Pasaka Mubarak kwa Wakrislam wote JF, tukumbukane kwenye mialiko, zana tunazo tayari...

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuuu,

Bwana Yesu amefufuka Alhamdulillah, Pasaka Mubarak kwenu wote Wakrislam.

Kama ilivyokuwa kwa Merry Eid hawakuwa na jambo dogo, pilau la maana nlikula bana, sasa tukumbukane kwa mialiko kwenye hili. Uzuri waalikwaji hatuna neno, tupo kamili na zana zetu, hatukupi gharama za usafiri mafuta yamepanda saivi, yaani tunahitaji location tu ili tutimbe. Sasa mtufanyie the needful😌😌

images (16).jpeg

Tuwe na Pasaka njema Wakuu, kisha turejee kwenye Ripoti ya CAG, Uchumi wetu na bei ya Mafuta, Ripoti ya Chande, Kesi ya Lissu na mengine mengi.

Shalomaleykum😎
 
Hivi haya mambo ya Serikali tukiyasema tu kila siku bila kuchukua hatua inasaidia nini? Au ndio yale ya tuwaseme mpaka waone aibu?

Heri ya pasaka mkuu🙏
Kusema nako si hapa, hata aliyekuwa haelewi anaelewa, tunahitaji kila mtu awe na taarifa sahihi ili tukichukua hatua hatumuachi mtu nyuma... wahenga walijichukulia point kwenye umoja ni nguvu, na kidole kimoja hakivunji chawa..
 
Hapo nimekupata mkuu
 
Wakuuu,

Bwana Yesu amefufuka Alhamdulillah, Pasaka Mubarak kwenu wote Wakrislam.

Kama ilivyokuwa kwa Merry Eid hawakuwa na jambo dogo, pilau la maana nlikula bana, sasa tukumbukane kwa mialiko kwenye hili. Uzuri waalikwaji hatuna neno, tupo kamili na zana zetu, hatukupi gharama za usafiri mafuta yamepanda saivi, yaani tunahitaji location tu ili tutimbe. Sasa mtufanyie the needful😌😌

Tuwe na Pasaka njema Wakuu, kisha turejee kwenye Ripoti ya CAG, Uchumi wetu na bei ya Mafuta, Ripoti ya Chande, Kesi ya Lissu na mengine mengi.

Shalomaleykum😎
Sasa hizo toothstick za nini mkuu? Nani amekujuza tutatkuwa na nyama? Ila anyway hiyo pilipili ina kitu
 
Me nishawataarifu wapendwa kama hapo mezani hakuna pombe usinipigie simu kabisaaaa.. Waniache nikapoe kwenye bar yangu ya kila siku.
 
Cute wife una mtu ? Nataka nijisogeze, na mimi niitwe mai dia!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom