Kusema nako si hapa, hata aliyekuwa haelewi anaelewa, tunahitaji kila mtu awe na taarifa sahihi ili tukichukua hatua hatumuachi mtu nyuma... wahenga walijichukulia point kwenye umoja ni nguvu, na kidole kimoja hakivunji chawa..Hivi haya mambo ya Serikali tukiyasema tu kila siku bila kuchukua hatua inasaidia nini? Au ndio yale ya tuwaseme mpaka waone aibu?
Heri ya pasaka mkuu🙏
Hapo nimekupata mkuuKusema nako si hapa, hata aliyekuwa haelewi anaelewa, tunahitaji kila mtu awe na taarifa sahihi ili tukichukua hatua hatumuachi mtu nyuma... wahenga walijichukulia point kwenye umoja ni nguvu, na kidole kimoja hakivunji chawa..
Sasa hizo toothstick za nini mkuu? Nani amekujuza tutatkuwa na nyama? Ila anyway hiyo pilipili ina kituWakuuu,
Bwana Yesu amefufuka Alhamdulillah, Pasaka Mubarak kwenu wote Wakrislam.
Kama ilivyokuwa kwa Merry Eid hawakuwa na jambo dogo, pilau la maana nlikula bana, sasa tukumbukane kwa mialiko kwenye hili. Uzuri waalikwaji hatuna neno, tupo kamili na zana zetu, hatukupi gharama za usafiri mafuta yamepanda saivi, yaani tunahitaji location tu ili tutimbe. Sasa mtufanyie the needful😌😌
Tuwe na Pasaka njema Wakuu, kisha turejee kwenye Ripoti ya CAG, Uchumi wetu na bei ya Mafuta, Ripoti ya Chande, Kesi ya Lissu na mengine mengi.
Shalomaleykum😎
Hivi haya mambo ya Serikali tukiyasema tu kila siku bila kuchukua hatua inasaidia nini? Au ndio yale ya tuwaseme mpaka waone aibu?
Heri ya pasaka mkuu