Yaani bile bila madamHaha mpk muda huu hujapata jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani bile bila madamHaha mpk muda huu hujapata jamani
Njoo capital ParkThe Bistro Nkuhungu.
Tukapimane ubavu na bia
Kingolwira Kuna Njia Hadi Tungi Kumejengwa Mpaka Kiperaladwa nampata alikua na kiwanda nadhani cha misumari eneo la misufini barabara ya chuo kikuu cha sua .
Bila shaka huko anafungua viwanda vipya, nasikia pia kingoluwira panachamgamka kukaribia na kihonda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaaaahw jamani hadi raha afu kuna sisi tuko wenyewe kama mishumaa
😂😂Angalau ifike tule nyamaMdogo wangu nakukumbusha tu Idd ni baada ya Wiki tu
Usijisahaulishe🤣
Chaliifrancisco akapigwe show au sii?Olewa wewe kama ni raha
ShukranKaribu tumalizie pasaka
Watu wabaya sana tunachekeana kinafiki wakati wa ubweche kimyaaaa🤣🤣Yaani bile bila madam
Acha roho mbaya dogo..unawaombeaje wekundu wa malkia mabaya hivyo?😂😂 Chelsea hao siku hizi hata hawanibabaishi. Liva sjui walinifanya nini, siwakubali siku hizi.
Mema nawaombea Man city. Forever Blue, ni dark/ light cha muhimu ni Blue.
Red ya Uingereza nimeishindwa kabisa 😂😂Acha roho mbaya dogo..unawaombeaje wekundu wa malkia mabaya hivyo?
Reds always reds...
Hakikisha anakimbia na chupi mkononiNachakata mbususu kwa kasi ya 5G nashushia na red wine.
Na huyu mleta uzi kaja kuumbua na uzi wake hapa🤣🤣Watu wabaya sana tunachekeana kinafiki wakati wa ubweche kimyaaaa🤣🤣
Himo ndo wapii? Au umekosea jina?Nipo Himo ,songea hapa
PratunamAsalaam,
Hakika Mwana Kondoo amefufuka na hivyo basi tumfuate, Kheri za Pasaka kwenu.
Bila kupoteza muda tupeane code ni wapi leo utaenda kufurahia sherehe zako za pasaka ukishashiba pilau la nyumbani kwako.
Karibuni.
Himo restaurant, pembeni na crystal parkHimo ndo wapii? Au umekosea jina?