Pasaka unailia kiwanja gani?

Asalaam,

Hakika Mwana Kondoo amefufuka na hivyo basi tumfuate, Kheri za Pasaka kwenu.

Bila kupoteza muda tupeane code ni wapi leo utaenda kufurahia sherehe zako za pasaka ukishashiba pilau la nyumbani kwako.

Karibuni.
Nipo Kauli ya Bibi hapa Mlandizi, navizia IT za usiku, niende nayo hadi Zambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…