Pasaka unailia kiwanja gani?

Tena mikoani ndo wanajua kuhonga balaa wala hawana mbambamba , huko jijini wanaotakiwa kunihonga mie ndo wanataka niwahonge wao, sasa mie hayo naweza wapiii?

Mambo yako mikoanii, yaan buli bulii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbona wa mikoani kila siku wanahamia jijini, na kuna vibinti vikimaliza chuo havitaki kurudi makwao mikoani
 
Halina mjadala hilo mwana lunyasi...
 
Home tu,siku za sherehe haipendezi kutoka kwasababu kunakuwa hakuna usalama road,madereva wameonja kilevi........kuna wengine tangu January leo ndiyo wamepata offers tena za Pombe na hawaziwezi ni kero tupu........ni vema kubaki nyumbani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…