Sio kwamba ana msimamo mkali. Yuko kama popo. Kwa kutumia uzoefu wa kawaida, wanashindwa kumtambua kama yeye ni wa kundi la birds au kundi la mammals!Sikiliza kwa umakini namna anavyochambua uongo na madudu ya Tume ya Jaji Chandeš
hakuna uongo alioeleza hapo mwalimu Paskali kuhusu ripoti ya Jaji chande.Sikiliza kwa umakini namna anavyochambua uongo na madudu ya Tume ya Jaji Chandeš
Kabendera effect itakufikia!Najidanganya vipi?