Pascal anamsimamo mkali sana. Ndio maana WanaCCM wenzake hawampi teuzi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Sikiliza kwa umakini namna anavyochambua uongo na madudu ya Tume ya Jaji Chande👇

Your browser is not able to display this video.
 
Mayala ni mzuri ila anashindwa kuwa na akili za mwaipopo au msigwa .
 
Sikiliza kwa umakini namna anavyochambua uongo na madudu ya Tume ya Jaji Chande👇

hakuna uongo alioeleza hapo mwalimu Paskali kuhusu ripoti ya Jaji chande.
Ametoa maelezo kadiri ya mtazamo wake huru dhidi ya sehemu tu ya ripoti ya Jaji chande.

But but,
familia 10, zinaweza kua zimefiwa na ndugu yao moja tu, na zote hizo zikatoa maelezo dhidi ya kifo cha huyo ndugu yao moja alieaga dunia.

Na kwahivyo,
hii haina maana kwamba katika hizo familia 10 za baba moja, kila moja imefiwa na mtu moja. Hapana sivyo.

So,
idadi ya wafiwa inaweza kua kubwa zaidi hata ya elfu 10, lakini ndugu zao walioaga duniani wakawa chini ya mia6. Na ndio maana hata katika hali ya kawaida tu mitaani tunapoishi, anaweza kua ameaga dunia mtu moja tu, lakini wafiwa wakawa mamia misibani hapo 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…