mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Vijana tafuteni hela,money can buy anything
Pascal Lutandula muhitimu wa darasa la saba B shule ya msingi Igando wilaya ya Chato,ameongoza kura za naoni kwa kuwaacha mbali wagombea wasomi akina Katwake na wenzake
Huyu ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu,ana hela kama njugu
Mpaka muda huu hapo kwake ilikuwa kama maonyesho ya nanenane
Rushwa ya chakula,na pesa taslim
Kwa haraka haraka ameshatumia kiadi kisichopungua milioni 600