Rushwa na maCCM ni pete na Kidole hana kesi huyoVijana tafuteni hela,money can buy anything
Pascal Lutandula muhitimu wa darasa la saba B shule ya msingi Igando wilaya ya Chato,ameongoza kura za naoni kwa kuwaacha mbali wagombea wasomi akina Katwake na wenzake
Huyu ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu,ana hela kama njugu
Mpaka muda huu hapo kwake ilikuwa kama maonyesho ya nanenane
Rushwa ya chakula,na pesa taslim
Kwa haraka haraka ameshatumia kiadi kisichopungua milioni 600
Ccm ya sasa ukiwa na ukwasi wanakufuata wenyewe na kukushawishi ugombee hata kama uliishia darasa la tatu cVijana tafuteni hela,money can buy anything
Pascal Lutandula muhitimu wa darasa la saba B shule ya msingi Igando wilaya ya Chato,ameongoza kura za naoni kwa kuwaacha mbali wagombea wasomi akina Katwake na wenzake
Huyu ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu,ana hela kama njugu
Mpaka muda huu hapo kwake ilikuwa kama maonyesho ya nanenane
Rushwa ya chakula,na pesa taslim
Kwa haraka haraka ameshatumia kiadi kisichopungua milioni 600
Hakuna cha kumuharibia, kama unaruhusu ashindane na kashinda, kwanini ushangae?Ushamuharibia atakatwa kwanini haujapiga kimya mkuu ?..
Money is not an end the more you have money the more you will need some more money
Unamuitaje mzee wakati hana hata miaka 45Acha uzushi, Mzee wawatu anakubalika na hanabaya na mtu, siokweli kuwa ameshinda kwa sababu ya rushwa, kashinda kwa njia halali kabisa, kumbuka hakuna mafanikio yasiyo na msingi, ndugu huyu kajiwekeza muda mrefu saana hivyo ushindi wake ni halisi na kweli.
Niko chato mimiAcha uzushi, Mzee wawatu anakubalika na hanabaya na mtu, siokweli kuwa ameshinda kwa sababu ya rushwa, kashinda kwa njia halali kabisa, kumbuka hakuna mafanikio yasiyo na msingi, ndugu huyu kajiwekeza muda mrefu saana hivyo ushindi wake ni halisi na kweli.
Tafuta pesa wenye njaa mtaiharibu Nchi Kwa ufisadi.Vijana tafuteni hela,money can buy anything
Pascal Lutandula muhitimu wa darasa la saba B shule ya msingi Igando wilaya ya Chato,ameongoza kura za naoni kwa kuwaacha mbali wagombea wasomi akina Katwake na wenzake
Huyu ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu,ana hela kama njugu
Mpaka muda huu hapo kwake ilikuwa kama maonyesho ya nanenane
Rushwa ya chakula,na pesa taslim
Kwa haraka haraka ameshatumia kiadi kisichopungua milioni 600
Ukisikia uchawi ndiyo kama hivi, jamaa kamwaga mchanga kwenye pilau.Ushamuharibia atakatwa kwanini haujapiga kimya mkuu ?..