Pascal Mayala: Waandishi wa habari walipwe posho kama Wabunge

Namshangaa ndugu nilimshauri muda tu achukue hata form ya Uwenyekiti wa mtaa lakini ameweka roho ngumu kweli..
Subiri ufe tushuhudie mbwembwe zao
Katelephone kama kawaida.
 
Hoja yake isipuuzwe, ina mashiko katika picha kubwa ya habari

Lakini swali ambalo Mkuu Pascal Mayalla anatakiwa kujiuliza;

Hiyo bajeti ya kuwalipa hizo Posho hao wahandishi wa habari italipwa kutoka kwenye kasima ipi?

Kama zaidi ya asilimia 75 ya Wahandishi wa habari wa Tanzania hawana mikataba ya kazi, je swala hilo litafanikiwa??
 
Tupunguze ukubwa bunge letu kwa 25% P anaongezwa mshahara na aliyoita brown envelop kwa waandishi wote na wanahabari.Ila naomba awaulize hao wana sii hasa.Je kwa maslahi ya taifa wapo tayariii?
 
Fundi wake anajitahidi sana kumharibia suti
 
Tupunguze ukubwa bunge letu kwa 25% P anaongezwa mshahara na aliyoita brown envelop kwa waandishi wote na wanahabari.Ila naomba awaulize hao wana sii hasa.Je kwa maslahi ya taifa wapo tayariii?
Katika vitu hao jamaa hatutaelewana nao ni kuwapunguzia Mishahara na marupurupu yao

Ndiyo maana wenzetu wamejiwekea utaratibu wa kujichukulia pension zao Kila baada ya miaka 5 πŸ™Œ
 
Wawalipe waalimu wasituchoshe
 
Hili linaonesha uwandishi habari haukidhi mahitaji yao ambayo ni hatari kwa uwandishi habari kuwa huru.
 
Kumbe Pasco ni dingi kinoma! Dah 😁
Huyu mwamba hana ngekewa alipata kura moja ya wajumbe. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…