kaa chini JF-Expert Member Joined Jun 4, 2022 Posts 1,935 Reaction score 4,048 Sep 13, 2024 #141 Hii ni ishara kwamba watanzania wengi hawasomi kwa makini. Ndio maana mtu amesoma uzi na anatoa pole leo bila kuona ni uzi wa lini?
Hii ni ishara kwamba watanzania wengi hawasomi kwa makini. Ndio maana mtu amesoma uzi na anatoa pole leo bila kuona ni uzi wa lini?
JAKUGOTE JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 788 Reaction score 1,084 Sep 13, 2024 #142 Miss Natafuta said: Kumbe kuna bodaboda za dar to Dom na hamsemi jamani? Click to expand... Acha kukurupuka! Jamaa alikua na tabia ya kusafiri na pikipiki yake mkoa kwa mkoa
Miss Natafuta said: Kumbe kuna bodaboda za dar to Dom na hamsemi jamani? Click to expand... Acha kukurupuka! Jamaa alikua na tabia ya kusafiri na pikipiki yake mkoa kwa mkoa
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Sep 13, 2024 #143 aleesha said: Hayo ndio matokeo ya kuisema vibaya Zanzibar na kuodharau Click to expand... Tunaiomba Serikali Elimu izidi kutolewa.
aleesha said: Hayo ndio matokeo ya kuisema vibaya Zanzibar na kuodharau Click to expand... Tunaiomba Serikali Elimu izidi kutolewa.
Mstoiki JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 4,365 Reaction score 8,384 Sep 13, 2024 #144 Samantha Lewthwaite said: Sjambo shikamoo Click to expand... Marhaba mwanangu!!
Samantha Lewthwaite JF-Expert Member Joined Sep 11, 2024 Posts 298 Reaction score 729 Sep 13, 2024 #145 Ibn Unuq said: Marhaba mwanangu!! Click to expand... Mmh
Nedlloyd JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 10,361 Reaction score 27,215 Feb 13, 2025 #146 kaa chini said: Hii ni ishara kwamba watanzania wengi hawasomi kwa makini. Ndio maana mtu amesoma uzi na anatoa pole leo bila kuona ni uzi wa lini? Click to expand... 😂😂 Huwajui wabongo ?
kaa chini said: Hii ni ishara kwamba watanzania wengi hawasomi kwa makini. Ndio maana mtu amesoma uzi na anatoa pole leo bila kuona ni uzi wa lini? Click to expand... 😂😂 Huwajui wabongo ?