Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla atangaza nia kugombea Ubunge

Pascal Mayalla yupo kwenye orodha ya wanaccm waliotia nia jimbo la Kawe. Taarifa zake ninazo tangia jana alivyoenda kuchukua form. Naomba nimpe tu taarifa Pasco kuwa ipo siri kubwa sana inayofanya Halima ashinde ubunge na ile timu yote ya 2015 imeingia tena mzigoni na miongoni mwao wapo watu muhimu sana kwenye vyombo vya dola. Niishie hapo kwa leo!
 
Ikiwa watu ambao tunawajua hawana uwezo wanakimbilia bungeni wakati wenye uwezo wamekaa pembeni namuunga mkono ingawa ningemshauri apiganie mgombea binafsi ambapo mahakama ya afrika ilishampitisha kilichobaki ni kukazia hukumu kwani hata akiwa na ushauri mzuri namna gani bado mfumo wa vyama utambana kutoa mawazo yake
 
Mzee wa njia panda!! Mzee wa kutegesha katikati ili kutakakozidi unachukua upenyo huyoo unalalia hoja ilikoangukia.

Kwamba ukikosa utashadidia hoja hukuchukua fomu na ukipata basi sifa kem kem kwamba ulipambana haha!

Unafanana sana na wale maprof wa kijamaa wa UDSM ambao hujiweka katikati katika mijadala ili upande utaokua na mashabiki wengi basi huudandia chap chap kuokota sifa!
 
Kijana wa njia panda za manati! Mjanja sana!
 
hahahhahah
 
Anafanya Siri wakati humu Muna wajumbe wa vyama kibao watakao husika kuchuja majina aweza katwa chini kabisa kumbe Kuna watu wangemsaidia wenye connection haya abaki na Siri yake
 
Tunakuungaje mkono binadamu usiye muwazi,yawezekana unagombea kupitia chama cha kishetani,binadamu aliyekamilika na kujiamni huwa haogopi anaweka wazi ili kufunika minongono,tatizo lako huwa hujui hata kutudanganya ili tusikuone mnafiki wa taifa.
Usitegemee mwanahabari nguli ukitoa ulimwengu kuwa chama kingine, ulimwemgu mwenyewe ni sababu mirija imekatwa.
 
Wewe ni mchumia tumbo,waambie kijani wenzio wakuunge mkono .
 
Anafanya Siri wakati humu Muna wajumbe wa vyama kibao watakao husika kuchuja majina aweza katwa chini kabisa kumbe Kuna watu wangemsaidia wenye connection haya abaki na Siri yake
Kwamba baadhi ya wajumbe wangesaidi kumpaisha kwenye maksi, tumwache pengine hadi anaamua kuficha anajua anachokifanya.
 
Mayalla unawachanganya watu kama upo serious tangaza chama na jimbo. Siasa hazitaki woga wala usiri. Hii ni nchi huru labda kama huamini hivyo.
 
Hawa hawa Wana JF ndio watanzania walioko huko maofisini, Masokoni, Machinga na sehemu mbalimbali hata kwenye Vyombo vya maamuzi...
Hatakua muwakilishi mzuri.
Atakuwa mpokea mshahara na posho mzuri.
 
No, this is inferiority complex, hizo sababu hazina mashiko kabisa
 
Litakuwa Bunge la wanafiki kuliko lililopita. Yaani wewe uwe mbunge na Stive Nyerere?
 
Tupo pamoja kiongozi, tunataka watu wenye reasoning kama wewe ...wananchi tutakutuma ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…