G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Pascal Mayalla yupo kwenye orodha ya wanaccm waliotia nia jimbo la Kawe. Taarifa zake ninazo tangia jana alivyoenda kuchukua form. Naomba nimpe tu taarifa Pasco kuwa ipo siri kubwa sana inayofanya Halima ashinde ubunge na ile timu yote ya 2015 imeingia tena mzigoni na miongoni mwao wapo watu muhimu sana kwenye vyombo vya dola. Niishie hapo kwa leo!Mwandishi nguli na Mchambuzi Mkongwe wa habari Pascal Mayalla ametangaza nia ya kugombea ubunge.
Amesema hivyo baada ya kuona mapungufu mengi kwenye bunge lililopita, amejipima na kuona anatosha kuwania hiyo nafasi.
Hajataja Jimbo, Wala Chama atakachotumia kuwania hiyo nafasi.
Ila amesisitiza ieleweke anaenda bungeni.
Kwa niaba ya Wana JF wote nakutakia safari na mafanikio mema kwenye hiyo safari yako mpya ya utumishi.
Chanzo: Pascal Mayalla . Star tv leo.
=======