Pole sana ata tuki kuunga na miguu huwezi penyaNi kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Safi kabisa, kura yangu unayo ingawa nitapigia huku huku Arusha kwenye jimbo langu.Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Connection mtakua nayo nyie wala vumbi?Anafanya Siri wakati humu Muna wajumbe wa vyama kibao watakao husika kuchuja majina aweza katwa chini kabisa kumbe Kuna watu wangemsaidia wenye connection haya abaki na Siri yake
Sema wewe na bibi mshumbusiTupo pamoja kiongozi, tunataka watu wenye reasoning kama wewe ...wananchi tutakutuma ...
Jimbo au Chama ni immaterial maana sisi wapiga kura tunapigia mtu tunayeona anafaa na Pascal Mayalla anakubalika. Mimi nampongeza sana kwa uamuzi wake wa kutaka kugombea hasa baada ya kukosa uteuzi mara nyingi pamoja na kuunga mkono juhudi. Wale wateuliwa aliokuwa anawaiga kutafuta uteuzi atakutana nao siku ya uchaguzi au kwenye kampeini wakitafuta Ubunge baada ya kukimbia nyadhfa walizoteuliwa na yeye angekuwa mmojawao kama angeteuliwa. Ukichaguliwa Ubunge Mwakyembe Uwaziri wa Habari na Michezo asahau hata nae akishinda uchaguzi. Ningeshauri akagombee Jimbo la Geita amwondoe yule Musukuma anayejiona ndo Msukuma pekee nchi hii. Good luck, Pascal, we will miss you!Kila la kheri pascal japo jimbo umeficha ila chama ni cha ufipa .
Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Hongera Sana mkuu kapambane, Sema popote pale ulipo umekuwa Balozi bora kabisa wa JF hujawahi kukosa kuitaja.
Bila shaka utaendelea kuwa mtetezi wa JF hata baada ya kuikwaa hiyo nafasi.
Tofauti na viongozi wengine wanaoitaja JF kiwoga woga ama kuikana kabisa wakati inajulikana ni wadau kindakindaki hapa.
[emoji2][emoji2][emoji2] hatari kubwa!Fomu alishachukua amejaza na kuzirudisha, bila shaka ni huko Mbogamboga maana jamaa amekuwa na mawasiliano mazuri Sana na watawala hasa hizi dakika za mwisho mwisho.
Kweli kabisa, wengi kinacho wa peleka huko ni njaa zaoWatu wengi wanakimbilia bungeni kwa lengo la kubadili maisha yao na si ya wananchi.
Kwenye uchaguzi mkuu ingekuwa ni vyema tukachagua nafasi ya urais na udiwani. Sijaona umuhimu na ulazima wa uwepo wa Bunge. Mihimili miwili UTAWALA na Mahakama inajitosheleza kabisa.
Fedha zinazotengwa kuendesha bunge kwa miaka mitano zinaweza kutumika katika maeneo mengine ya maendeleo kwa wananchi.
NB: Nimeandika utani ambao hata mimi binafsi siuelewi[emoji16][emoji16]
Duuh mkuu ulichukua usiku off camera.hongera sana!Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Kila la heri mkuu, ukifanikiwa ushauri wangu kwako pamoja na watia nia wengine watakaofanikiwa kipau mbele chao cha kwanza kiwe ni kumtimua Ndugai na Tulia kwenye nyazifa zao, bila hivyo hata kama mtakuwa na akili kama za malaika bunge lenu lazima ligeuke kuwa kama bunge la shetani.Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Mwenye laki moja ya kuchezea aniazime nikachukue form ya vegetables.Si muda umeisha?
View attachment 1509976
HahahahaMwenye laki moja ya kuchezea aniazime nikachukue form ya vegetables.
Gh'ana Mayala unafikra komavu mzee wee nenda...umekuwepo hapa jamvini for a long time...iwakilishe vyema jamii forum na wengine tutakutambua mbunge wetu wa jamii forum...jitaidini kutoa mawazo ya kuisaidia jamii yetu na watu wake ili tuendelee kusogea kimaendeleo...sitegemei kukuona ukiegemea zaidi agenda za ki vyama mtu kama wewe...all the best broNi kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla