Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla atangaza nia kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla atangaza nia kugombea Ubunge

Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.

Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.

Paskali Mayalla
Pole sana ata tuki kuunga na miguu huwezi penya
 
Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.

Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.

Paskali Mayalla
Safi kabisa, kura yangu unayo ingawa nitapigia huku huku Arusha kwenye jimbo langu.
 
Anafanya Siri wakati humu Muna wajumbe wa vyama kibao watakao husika kuchuja majina aweza katwa chini kabisa kumbe Kuna watu wangemsaidia wenye connection haya abaki na Siri yake
Connection mtakua nayo nyie wala vumbi?
Kweli shetani hana huruma hivi kama PhD holder analipwa laki tano hapo Lumumba kushabikia upuuzi wewe mwenye USUBI pangu pakavu tia mchuzi utapewa ngapi?
 
Kila la kheri pascal japo jimbo umeficha ila chama ni cha ufipa .
Jimbo au Chama ni immaterial maana sisi wapiga kura tunapigia mtu tunayeona anafaa na Pascal Mayalla anakubalika. Mimi nampongeza sana kwa uamuzi wake wa kutaka kugombea hasa baada ya kukosa uteuzi mara nyingi pamoja na kuunga mkono juhudi. Wale wateuliwa aliokuwa anawaiga kutafuta uteuzi atakutana nao siku ya uchaguzi au kwenye kampeini wakitafuta Ubunge baada ya kukimbia nyadhfa walizoteuliwa na yeye angekuwa mmojawao kama angeteuliwa. Ukichaguliwa Ubunge Mwakyembe Uwaziri wa Habari na Michezo asahau hata nae akishinda uchaguzi. Ningeshauri akagombee Jimbo la Geita amwondoe yule Musukuma anayejiona ndo Msukuma pekee nchi hii. Good luck, Pascal, we will miss you!
 
Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.

Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.

Paskali Mayalla

Yaani tukuunge mkono ili umshinde Halima Mdee, tukupitishe ww ukamsifie Magufuli! Acha utani Paskali. Huhitaji kuungwa mkono na mwanajf yoyote, maana ukiwa mgombea wa ccm, automatically tume ya uchaguzi na vyombo vya dola vitakupitisha, labda wananchi wajitokeze kupiga kura kisha wazilinde kura zao. Ukumbuke sasa hivi wapiga kura wengi tunaojitambua, hatuna muda wa kushiriki huo uhuni uitwao uchaguzi chini ya hii tume ya uchaguzi.
 
Hongera Sana mkuu kapambane, Sema popote pale ulipo umekuwa Balozi bora kabisa wa JF hujawahi kukosa kuitaja.

Bila shaka utaendelea kuwa mtetezi wa JF hata baada ya kuikwaa hiyo nafasi.

Tofauti na viongozi wengine wanaoitaja JF kiwoga woga ama kuikana kabisa wakati inajulikana ni wadau kindakindaki hapa.

Kwa hili la kuipa promo jf, kweli yuko vizuri 100%.
 
Hongera Sana mkuu bungeni lazima uende Mimi nakuunga mkono maana unajitambua sana.naamini itaisaidia nchi yetu ,Kila la heli.
 
Watu wengi wanakimbilia bungeni kwa lengo la kubadili maisha yao na si ya wananchi.

Kwenye uchaguzi mkuu ingekuwa ni vyema tukachagua nafasi ya urais na udiwani. Sijaona umuhimu na ulazima wa uwepo wa Bunge. Mihimili miwili UTAWALA na Mahakama inajitosheleza kabisa.

Fedha zinazotengwa kuendesha bunge kwa miaka mitano zinaweza kutumika katika maeneo mengine ya maendeleo kwa wananchi.

NB: Nimeandika utani ambao hata mimi binafsi siuelewi[emoji16][emoji16]
Kweli kabisa, wengi kinacho wa peleka huko ni njaa zao

Ova
 
Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.

Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.

Paskali Mayalla
Duuh mkuu ulichukua usiku off camera.hongera sana!
 
Pascal tumuombee sote humu, binafsi namuunga mikono na miguu! kwakuwa tayari ameonesha ujasiri , amejitoa muhanga kuchukua form ya ubunge ili kupigania maslahi na uhuru wetu wana JF , maslahi yake binafsi, maslahi ya taifa, basi hata akikatwa jina itapendeza mno Magu ampe viti maalum sababu hamu yake ya kuwa mbunge imewadia na njaa ni kali zaidi kila siku inayopita afadhali ya jana!

kila jimbo ni muhimu liwe na mwakilishi, jimbo la mtandaoni ambalo kituo chake cha kura na ofisi ni JF linahitaji mtu makini kama Paskali, kama ni uzalendo wa kutetea nchi yake tayari kuku na ndege wanajua, go go Pascal! Magu asipompanga kwenye safu yake atakuwa hajamtendea haki Paskali amekiimarisha sana chama jimbo la mtandaoni, ni kada makini ambae amemtetea mno Magufuli, Paskali ni kada mtiifu anaeuma na kupuliza!!
 
Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.

Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.

Paskali Mayalla
Kila la heri mkuu, ukifanikiwa ushauri wangu kwako pamoja na watia nia wengine watakaofanikiwa kipau mbele chao cha kwanza kiwe ni kumtimua Ndugai na Tulia kwenye nyazifa zao, bila hivyo hata kama mtakuwa na akili kama za malaika bunge lenu lazima ligeuke kuwa kama bunge la shetani.
 
Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.

Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.

Paskali Mayalla
Gh'ana Mayala unafikra komavu mzee wee nenda...umekuwepo hapa jamvini for a long time...iwakilishe vyema jamii forum na wengine tutakutambua mbunge wetu wa jamii forum...jitaidini kutoa mawazo ya kuisaidia jamii yetu na watu wake ili tuendelee kusogea kimaendeleo...sitegemei kukuona ukiegemea zaidi agenda za ki vyama mtu kama wewe...all the best bro
 
Back
Top Bottom