Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla atangaza nia kugombea Ubunge

Unayajua majukumu ya bunge ?
 

basi sawa kaka
 
Ulitangaza chama utakacho gombea kiaina. Si ulisema unataka ukamsaidie spika na jei pii emu?
 
Propaganda au aibu ya kukatwa

Hakuna asiyekuwa na access ya media halafu ameweza kugombea ubunge ambao lazma awe na nguvu hizo lkn ni maamuz mwanzon kutokutumia ili uwapige counter wenzio
 
Kila la heri kaka
 
Nimetazama kipindi cha "jicho letu ndani ya habari" Star TV leo na kwa kweli imenisikitisha maana kila Jumamosi ni lazima nichelewe kutoka home nitazame mijadala iliyokomaa ya PM. nimeanza kukufuatilia tokea kipindi cha Kiti Moto ITV hadi sasa, Nimepoteza hamu ya kufatilia vyombo vingi vya habari ikiwemo magazeti yetu baada ya ile Rai ya wakina Privatus Karugendo, Joseph Mihangwa, Prince Bagenda na Majid Mjengwa. Sasa nitapoteza sehemu iliyokuwa imebaki amabyo ni kipindi hicho star Tv kwa sababu ya kuondoka kwa Nguli wewe. Safari Salama Legend Paschal Mayalla!
 
Pascal Mayalla hongera sana, unaweza na una hoja nzito.
Nakuombea Mungu, yule aliyekuita "njaa " ulipomuuliza swali na akaweweseka sasa ataweweseka akikuona bungeni.
 
CCM jana ndio ilikuwa siku ya mwisho kuchukua fomu za kugombea ubunge kama sijakosea, Chadema huwa huipendi pendi, I bet unakwenda ACT kwa rafiki yako.
 
Ingawa sitwaweza kukupigia kura kwa vile sijui jimbo lako, nitakuunga mkono kwa sababu nakufahamu kwa takriban miaka 30 sasa; ninajua kwa uwezo na uadilifu wako bila shaka yoyote utawatendea haki watu wa jimbo lako.
 
Ni wakati mwafaka hata "Matonya" aweke nia kule hata Kongwa!
 
Pamoja mkuu nakutakia ushindi wa kishindo.
 
Tunakuungaje mkono na siri yako.Sikuelew unajua we mzee
 
Tunakuunga mkono bila hata kujali uko chama gani, kwani sifa zako wewe binafsi zinakubeba kuliko chama, nisema ni kama ilivyo Kwa magufuli uwezo wake binafsi kiutendaji unambeba zaidi kuliko chama chake.
 
Azma ipi sasa ya kuficha ficha mambo.??????Enzi hizi??
 
Tukuunge mkono wakati wewe unamuunga mkono shetani ?

Hatuwezi kuunga mkono wafuasi wa shetani wa kijani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…