Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Unayajua majukumu ya bunge ?Watu wengi wanakimbilia bungeni kwa lengo la kubadili maisha yao na si ya wananchi.
Kwenye uchaguzi mkuu ingekuwa ni vyema tukachagua nafasi ya urais na udiwani. Sijaona umuhimu na ulazima wa uwepo wa Bunge. Mihimili miwili UTAWALA na Mahakama inajitosheleza kabisa.
Fedha zinazotengwa kuendesha bunge kwa miaka mitano zinaweza kutumika katika maeneo mengine ya maendeleo kwa wananchi.
NB: Nimeandika utani ambao hata mimi binafsi siuelewi[emoji16][emoji16]