Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla atangaza nia kugombea Ubunge

Kwa upande wa CCM muda umeisha, hii inatosha kuonesha Paskali ni upande wa pili!

Kila la kheri kigeugeu bin maslahi.
 
Kila la kheri kaka
 
Unafichaficha nini sasa?
 
Unafichaficha nini sasa? Ucje ukawa ni wale wanye kutia nia majimbo zaidi ya moja tofauti na pia chama tofauti
 
Nilikuwa namkubali Paskal Mayala wa Kitimoto na sie huyu wa Jamii Forum na yule aliyekuwa akitangaza vipindi vya saba saba, njaa imemfanya ajulikane: mdini,mnafiki asiye na msimamo au kusimamiwa anachoamini.
 
Iwe Kinondoni ...ukamgalagaze BASHITE mapema asubuhi.
 
Mungu akupe afya njema na mafanikio mema.
 
Lakini si huwa kwenye declaration zako huwa unasema wewe si mwachama chochote cha siasa ? hizo sifa za kugombea umezitoa wap mkuu?
 
Angalizo kwa vyama vya kisiasa, wapitishe wagombea ambao wana uhakika kuwa hawata withdrawal majeshi katikati ya VITA majimboni.
 
Mapambio yote aliyoyafanya kakoza Teuzi kaona ajaribu na Ubunge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
CCM wanashangilia utitiri wa watia nia ya kugombea ubunge kupitia chama lao la Joka la Kijani la Kishetani, lakini hii so dalili mzuri tunakoelekea tutakuwa kama Somalia kila mtu anataka kuongoza mwisho wake tutaanza kuzichapa kugombania madaraka ya kisiasa maana ndiyo kwenye maslahi. Watumishi hawajaongizewa mashahara kwa miaka Kitano,nani anataka umasikini na unyonge.
 
All the best. Ila mpaka leo tarehe 18 Julai, 2020, sijakuona popote au nimepitwa na mambo in these four za CCM au tusubir kukuona ukipitia vyama vingine ambavyo havijaanza au havijamaliza utaratibu wa uteuzi ndani ya vyama vyao!? Tunasubiri na ninasema tena KILA LA HERI!
 
Azma ya mtu inaungwaje mkono?!

Tunapiga kura au tunakusukumiza uende ukagombee?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…