Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Anaogopa wana JF mtasema anatumika sema wakimchinjia baharini asianze lawamaTaja jimbo mkuu. Wana JF wa jimbo hilo wakuunge
vipi alisema kwa uchaguzi wa mwaka gani?Mwandishi nguli na Mchambuzi Mkongwe wa habari Pascal Mayalla ametangaza nia ya kugombea ubunge.
Amesema hivyo baada ya kuona mapungufu mengi kwenye bunge lililopita, amejipima na kuona anatosha kuwania hiyo nafasi.
Hajataja Jimbo, Wala Chama atakachotumia kuwania hiyo nafasi.
Ila amesisitiza ieleweke anaenda bungeni.
Kwa niaba ya Wana JF wote nakutakia safari na mafanikio mema kwenye hiyo safari yako mpya ya utumishi.
Chanzo: Pascal Mayalla . Star tv leo.
=======
DuuhNi kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Hongera sana,Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Tarehe 17 ilikuwa Mwisho waPascal Mayalla yupo kwenye orodha ya wanaccm waliotia nia jimbo la Kawe. Taarifa zake ninazo tangia jana alivyoenda kuchukua form. Naomba nimpe tu taarifa Pasco kuwa ipo siri kubwa sana inayofanya Halima ashinde ubunge na ile timu yote ya 2015 imeingia tena mzigoni na miongoni mwao wapo watu muhimu sana kwenye vyombo vya dola. Niishie hapo kwa leo!
Nimesoma maandiko yako ya muda mrefu kuhusu Zitto. Nitashangaa kama utagombea kupitia ACT.Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla
Mwandishi nguli na Mchambuzi Mkongwe wa habari Pascal Mayalla ametangaza nia ya kugombea ubunge.
Amesema hivyo baada ya kuona mapungufu mengi kwenye bunge lililopita, amejipima na kuona anatosha kuwania hiyo nafasi.
Hajataja Jimbo, Wala Chama atakachotumia kuwania hiyo nafasi.
Ila amesisitiza ieleweke anaenda bungeni.
Kwa niaba ya Wana JF wote nakutakia safari na mafanikio mema kwenye hiyo safari yako mpya ya utumishi.
Chanzo: Pascal Mayalla . Star tv leo.
=======
CCM hawana hofu na Zitto hata kidogo, kinachowaumiza kichwa ni Sefu kule Zanzibar...Nimesoma maandiko yako ya muda mrefu kuhusu Zitto. Nitashangaa kama utagombea kupitia ACT.
Kwa mtazamo wangu ACT itashangaza wengi kwenye upande wa nafasi ubunge. Watashinda majimbo mengi kuliko Chadema. Lakini ninahisi CCM wataona ni bora Chadema kiwe chama kikuu cha Upinzani bungeni kuliko ACT hasa Zitto akiwa bungeni na Membe akiwa anaongoza Chama.
Chadema wasipokuwa makini kati ya Nyalandu au Lissu mmoja atakimbilia ACT akishindwa.
πππππ Pascal Mayalla hatimaye afuata ushauri wa BAK kuchukua form ya kugombea Ubunge,
πππ