Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla atangaza nia kugombea Ubunge

Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla atangaza nia kugombea Ubunge

Hitojalisha chama ambacho Paskali atagambea kwacho.

Mimi nisingemchagua hata kama ningekuwa ni mpiga kura. Ndani ya moyo wake anajua kwamba yeye ni mdini haswa, anawachukia tu waislam kwa sababu wao ni waislam.

Mtu wa namna hii hafai kuongoza watu kwa ujumla wao hususan katika jamii iliyochanganyika ya waislam na wasio waislam.
 
Mwandishi nguli na Mchambuzi Mkongwe wa habari Pascal Mayalla ametangaza nia ya kugombea ubunge.

Amesema hivyo baada ya kuona mapungufu mengi kwenye bunge lililopita, amejipima na kuona anatosha kuwania hiyo nafasi.

Hajataja Jimbo, Wala Chama atakachotumia kuwania hiyo nafasi.

Ila amesisitiza ieleweke anaenda bungeni.

Kwa niaba ya Wana JF wote nakutakia safari na mafanikio mema kwenye hiyo safari yako mpya ya utumishi.

Chanzo: Pascal Mayalla . Star tv leo.

=======
vipi alisema kwa uchaguzi wa mwaka gani?
 
Nguo za rangi ya kijani kwa sasa ni dili kama ilivyokuwa barakoa Siku chache zilizopita, wajasiliamali na mafundi cherehani tumieni hii fursa
 
Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.

Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.

Paskali Mayalla
Duuh
 
P.
Naona unatumia mlango mwingine kusaka uteuzi baada ya huu wa kawaida kushindwa kufunguka! Ni kweli poti ana kawaida ya kuwachukua wale waliokatwa kwenye kura za maoni akiamini wanaweza kumsaidia. Swali ni kuwa, atakuona katika angle na nguzo hiyo ya kimkakati? Je, mbinu hii ikifeli, utakuwa na nyingine?
 
Kuna mtu aliwahi sema Kuna wakati maisha huwa hayako fair.. unajua Brain Kama hii Paschal alitakiwa awe na space kubwa kuliko kawaida. He is genious, honest and of constructive mind. Tatizo ninaloliona Ni Kama hata hicho chama anachoomba kimteue kinaona potentiality aliyonayo! Ndo maana narudia kusema life is to some extent not fair. Mtu Kama huyu anaweza akashindwa kupata uteuzi ajabu Sasa uone wanaopewa nafasi. Ni watu hawana input ya maana, watu wa kujipendekeza, waongo, waoga, watoa rushwa nk. Hapa ndo unaona wakati mwingine maisha yasivyo fair. Watu wenye subsitance Mara nyingi hawapati jukwaa. Nakuombea this time update jukwaa maanake you are really bright and indeed of full edifying thoughts for this nation. Ikitokea ukakosa uteuzi, ukumbukwe na Rais ajaye walau kwenye viti vyake ingawa hiyo nayo Ina complexity yake. Nakutakia mafanikio mema.
 
Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.

Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.

Paskali Mayalla
Hongera sana,
Uthubutu si jambo rahisi kama wengi wetu tunavyodhani!!!
 
Pascal Mayalla yupo kwenye orodha ya wanaccm waliotia nia jimbo la Kawe. Taarifa zake ninazo tangia jana alivyoenda kuchukua form. Naomba nimpe tu taarifa Pasco kuwa ipo siri kubwa sana inayofanya Halima ashinde ubunge na ile timu yote ya 2015 imeingia tena mzigoni na miongoni mwao wapo watu muhimu sana kwenye vyombo vya dola. Niishie hapo kwa leo!
Tarehe 17 ilikuwa Mwisho wa
kurudisha fomu
 
Ni kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.

Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.

Paskali Mayalla
Nimesoma maandiko yako ya muda mrefu kuhusu Zitto. Nitashangaa kama utagombea kupitia ACT.

Kwa mtazamo wangu ACT itashangaza wengi kwenye upande wa nafasi ubunge. Watashinda majimbo mengi kuliko Chadema. Lakini ninahisi CCM wataona ni bora Chadema kiwe chama kikuu cha Upinzani bungeni kuliko ACT hasa Zitto akiwa bungeni na Membe akiwa anaongoza Chama.

Chadema wasipokuwa makini kati ya Nyalandu au Lissu mmoja atakimbilia ACT akishindwa.
 
😂😂😂😂😂 Pascal Mayalla hatimaye afuata ushauri wa BAK kuchukua form ya kugombea Ubunge,
😜😜😜

Mwandishi nguli na Mchambuzi Mkongwe wa habari Pascal Mayalla ametangaza nia ya kugombea ubunge.

Amesema hivyo baada ya kuona mapungufu mengi kwenye bunge lililopita, amejipima na kuona anatosha kuwania hiyo nafasi.

Hajataja Jimbo, Wala Chama atakachotumia kuwania hiyo nafasi.

Ila amesisitiza ieleweke anaenda bungeni.

Kwa niaba ya Wana JF wote nakutakia safari na mafanikio mema kwenye hiyo safari yako mpya ya utumishi.

Chanzo: Pascal Mayalla . Star tv leo.

=======
 
Nimesoma maandiko yako ya muda mrefu kuhusu Zitto. Nitashangaa kama utagombea kupitia ACT.

Kwa mtazamo wangu ACT itashangaza wengi kwenye upande wa nafasi ubunge. Watashinda majimbo mengi kuliko Chadema. Lakini ninahisi CCM wataona ni bora Chadema kiwe chama kikuu cha Upinzani bungeni kuliko ACT hasa Zitto akiwa bungeni na Membe akiwa anaongoza Chama.

Chadema wasipokuwa makini kati ya Nyalandu au Lissu mmoja atakimbilia ACT akishindwa.
CCM hawana hofu na Zitto hata kidogo, kinachowaumiza kichwa ni Sefu kule Zanzibar...
 
Wingi wa wagombea CCM na wengi wao kutemwa kwenye nafasi zao za uongozi. Hii itasaidi ACT kupata wagombea wengi na wenye nguvu majimboni baadae!
 
Back
Top Bottom