Uchaguzi 2020 Pascal Mayalla atangaza nia kugombea Ubunge

Kwani JF ni Jimbo? Mi sikuungi mkono, labda mguu
 
Njoo Zambarau ndio future ya nchi hii.
Vyama vyenye nguvu ndio chachu ya haki , Democrasia na Maendeleo.
Vyama havitakua kama kila mtu ataogopa na kuvaa kijani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM hawana hofu na Zitto hata kidogo, kinachowaumiza kichwa ni Sefu kule Zanzibar...
Zanzibar kule wana experience. Alishashindwa mara nyingi uko nyuma tena CCM ikiwa vipande upande wa Zanzibar ndio sasa hivi?! CCM Zanzibar itakuwa na uchaguzi mrahisi kupita za nyuma!!

Kwa mtazamo wangu, Mbinde ni Bara uchaguzi huu. Membe hawezi kushinda lakini ata mu-expose Magufuli sana na atamweka katika wakati mgumu katika awamu ijayo!
Yale yote waliyoshindwa kuyaongelea kwenye majukwaa na bungeni kwenye kupindi cha miaka mitano sasa ndio watapa nafasi!! Ni bora wangewaacha waongee yote ukifika wakati wa kampeni hakuna jipya kwa wananchi!!
Halafu Lissu naye asipowewa nafasi. Kwa hasira atakimbilia ACT.
Mkumbo akikatwa jina na wengi wewe unadhani nini kitakachofuatia?
 
Chama ccm jimbo tusubiri na tuone
CCM hatoboi yaani hatapewa nafasi ya kugombea. Mwisho wa siku itakuwa ni ACT!
CCM ina maadui wengi wapo lakini wamenyamaza. Hivi Nape, January na Kinana mbona kimya sana!
 
Mi kama mwana Jf nauunga mkono iwapo ukiteuliwa kwenye jimbo langu hesabu kula yangu unayo.... Best wishes. PASKALI mayalla
 
Hata ukigombea CCM nakuunga mkono,hakuna namna.
 
Update,
Nimetangaza kuwania ubunge kupitia CCM, jimbo la Kawe.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…