Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Kwani JF ni Jimbo? Mi sikuungi mkono, labda mguuNi kweli kabisa, nimetangaza nia kugombea ubunge, na sikutangaza ni jimbo gani au kupitia chama gani, ili kuepuka taking undue advantage dhidi ya wagombea wengine ambao hawana access na media.
Wana JF wenzangu, naombeni mniunge mkono katika azma yangu hii.
Paskali Mayalla