Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Wakuu, msikilizeni wenyewe mwandishi huyu mkongwe katika tasnia ya habari hapa Tanzania akieleza kuhusu kupotea kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda na Ben Saanane, pamoja na athari ambazo matukio hayo yameleta kwa waandishi wa habari hadi sasa.
=============
"Kuna Muandishi wa Mwananchi anaitwa Azory Gwanda yeye alikwenda kule Rufiji akapiga kambi akakuta kuna kitu kinachoendelea siyo cha kawaida akaripoti kuhusu kupotea kwa watu, kupotea kwa viongozi na hao wanapotezwa yani wanapotea na awaonekani kabisa.
Kwahiyo akawa anaandika makala ambazo ni series kwahiyo from nowhere Azory Gwanda alitekwa na alitekwa na gari ya Landcruiser hardtop nyeupe na kabla hamjamteka walikwenda shambani kwa mkewe kuchukua funguo za nyumba halafu wakaenda nyumbani waka search wakaparanganya kila kitu halafu wakaacha hapo mlango wazi wakaondoka na Azory, mkewe alivyotoka shambani akakuta hali aliyoikuta akawa anasubiri mume wake arudi yule mwanaume akurudi mpaka leo" Pascal Mayalla
Soma Pia:

- Pascal Mayalla: Media zetu ni waoga kutangaza mambo ambayo wanahisi serikali haitafurahia, mfano yaliyotokea Oktoba 29
- Sirro: Lissu ameshindwa kutoa ushirikiano kuhusu tukio lake la kupigwa risasi... Jalada la Uchunguzi kuhusu kupotea kwa Azory limefunguliwa