Pascal Mayalla hapo lazima wamnase. Kwa sababu hakuna uthibitisho wa kuchambua mtu hisia na mihemko yake


Unafikiri wataichukulia serious?
Hapo ni kengele ya onyo tuu.
 
Hayo ni maoni yake binafsi. Wasimfunge mdomo Pascal Mayalla na kumfundisha jinsi ya kufikirl. Naona sasa maCCM yanataka kutushikia akili na kutufundisha jinsi ya kufikiri.

Kuna maoni binafsi na maadili ya kazi.
Mayalla Pale aliongea kama Mwandishi wa habari, mtangazaji na alikuwa kazini.

Hakuongea kama Mimi na wewe hapa.

Ni sawa Daktari aongee Jambo kinyume na maadili ya kazi yake akiwa na mgonjwa
 

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Mambo ni Mengi Bwashee. Hadi unachanganyikiwa. Mtu anaona eeh acha nisijichoshe. Anajiunga na wapiga porojo
 
Ila huyo waziri mkuu wa mtutu na damu za watanganyika yuko busy kupiga porojo tupu.
Naam mkuu, katiba inasema waziri mkuu atatokana wabunge wa kuchaguliwa.

Tarehe 29 hakukua na huo uchaguzi ilikua ni mitutu na damu za watanganyika zaidi ya 10000 mitaani na hata wengine hadi leo hawajapata maiti.

Hivyo ni lazima tuseme wazi huyu ni waziri mkuu wa mitutu na damu za watanganyika maana hana ridhaa wa uhalali kuwepo hapo.
 
Inakuaje Waziri Mkuu una maindi vitu vidogo vidogo kama hivi

Hapana sio vitu vidogo. Ila vinaweza kuchukuliwa kama vitu vidogo(kupuuzwa).

Pascal Mayalla anaeleza yeye kama mwanasaikolojia akitumia maneno kwa watu wanaojua saikolojia alafu anaeleza anachotaka kueleza akifafanua hisia za mtu mwingine.
Anaposema kwa watu wanaojua saikolojia tayari anaandaa wasikilizaji kumuamini kwa kile ambacho ataeleza. Uhakika wa atakachoeleza.
Kwamba ni mbobevu.

Sasa anaweza kuwa mwanasaikolojia kweli. Na hata anachoongea kinaweza kuwa kweli lakini uthibitisho(ukweli) ndio msingi wa habari
 
Ila Bongo kuna ujinga mwingi sana. Hivi hiki ni kitu cha kumtaka mtu kudhibitisha kweli? Hakuna mambo ya msingi ya kujadili? Watu wanarusha drone za hatari huko, sisi tunapeana 24 hrs kwa vitu vya kitoto

Ndio swali hilohilo utaulizwa. Kwa nini Pascal mayalla asijadili mambo ya msingi kama kurusha drone na the likes. Na anajadilli mambo ya hisia au hotuba za watu?

Hapo ni pipa na mfuniko. Kama tutatenda Haki kuwajaji.

Lakini kama tutataka Fair play basi hakuna haja ya bodi ya ithibati kumfuatilia Pascal
 
Kwa sababu ni Rafiki yako sioπŸ˜€πŸ˜€
Mbona wengine unatoa kauli ngumu?
waTanzania wote ni ndugu na marafiki zangu sana,
na kwakweli tunapendana na kuheshimiana mno licha ya kutofautiana maoni au mawazo juu ya mambo kadha wa kadha kijamii, kisiasa na kiuchumi.

katika kukemea au kuonya jambo fulani huwa sipepesi macho wala maskio bali huwa naeleza ukweli kwa uwazi na bila kificho. Huenda lugha ya uwazi ninayotumia kukemea nonsense mbalimbali, kwako hua unaona kama ni kauli ngumu, lakini ndivyo ukweli ulivyo,

Mwalimu Pascal Mayalla ni rafiki, kaka, baba, babu, mjomba na mwalimu wa wadau karibu wote humu JF,
huna haja ya kunilisha maneno gentleman kwamba huyu mungwana ni rafiki yangu pekeyangu, huyu ni wetu sote

kama lilivyopita lile la wakati ule aivyoitwa mjengoni dodoma, ni wazi hili nalo litapita kwa salama na amani
 
Paskali ana haki ya kuzungumza maoni yake, hivyo vitisho vimeandaliwa kimkakati ili watu waogope kuendelea kujadili yaliyotokea na reaction ya Mwigulu(alivyolialia akidai kupendwa na mkewe peke yake kunatosha haitaji kupendwa na wananchi) baada ya tukio la kule kanisani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…