ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Kucheka na kulia zote ni kelele tu ongezea na kuimba pia ni kelele tu 😳 !Ila Bongo kuna ujinga mwingi sana. Hivi hiki ni kitu cha kumtaka mtu kudhibitisha kweli? Hakuna mambo ya msingi ya kujadili? Watu wanarusha drone za hatari huko, sisi tunapeana 24 hrs kwa vitu vya kitoto
Naunga mkono hoja yako tujikite katika kuzungumzia vitu vyenye faida na Nchi na watu wake 😳!
Agayaa bandugu !!! 🙄