"Maoni ya mhariri" hayajawahi kupingwa. Kwani wahariri sio wanataaluma? Je, ni misingi gani iliyokiukwa na Mayalla? Nitajie hicho kifungu cha taaluma ya uandishi kilichovunjwa.Maoni kwenye taaluma?
Maoni yanayokiuka maadili ya KAZI?
Maoni sio tatizo kama yanazingatia Misingi na maadili ya kazi.
Ndiyo.Aaah! Mama Yangu Game over!
Pascal ametoa maoni yake lakini akiwa kazini.
Swali linakuja, je mwandishi anaruhusiwa kutoa maoni yake binafsi kuhusu hisia zaa mtu mwingine?
Bodi ya CCM hiyo hivyo nadhani unawajua 90% ya wati wa hicho chama wanakuwaje.Na wewe itabidi uende mbele ya bodi ya ithibati ukathibitishe taarifa hizi...nchi imeshajifia hii ni utawala wa Maduro na Ayatollah 🐼
CCM imekufa muda mrefu saa hizi inategemea majeshi na kundi la mafisadi, majizi na cartels wa madawa ya kulevya.Jamani naomba tuelewe na kukubali: CCM haitabadilika na kila siku inazidi kwenda low! Viongozi wakishalewa madaraka, halafu wanajua wazi hakuna wa kuwaondoa, ndivyo wanavyofanya vitu vya kijinga. Itafika siku hata kumwangalia mtawala machoni au kuongea naye bila kupiga magoti iwe ni kosa, tena la kuuawa. Kama kuna mtu anayesubiri sijui washughulike na matatizo ya nchi na wananchi, basi nampa pole.
Ndiyo.
Kwa nini hata anaweza kufanya hivyo? Kwa sababu uhuru wa mawazo na wajibu wa kijamii humpa mwandishi nafasi ya kutafakari na kueleza mtazamo wake mradi tu afanye kwa busara, uadilifu na heshima kwa hisia za wengine.
"Maoni ya mhariri" hayajawahi kupingwa. Kwani wahariri sio wanataaluma? Je, ni misingi gani iliyokiukwa na Mayalla? Nitajie hicho kifungu cha taaluma ya uandishi kilichovunjwa.
Mwehu anapokuvua nguo huna haja ya kumkimbiza. Ni busara kuchutuma kuliko kupambana naye. Mzee Pascal Mayalla na mwenzake wameamua kuchutama ili mambo yasiwe mengi.
View attachment 3552003
Uzuri mayala ni mwanasheria, ataibua hoja ya kisheria kuwa Madelu adhibitishie kuwa alikuwa hajachukia na hapo atafail kudhibitisha kesi itakuwa imeisha. Labda wamtumie wasiojulikana, lakini mahakamani Madelu hawezi toboa sababu amejenga shitaka kwenye hisia tu.
Mhariri anapoandika MAONI kwenye gazeti lazima achambue jambo liliozungumzwa au anaaandika maoni yake juu ya jambo lolote (lililozungumzwa au lilipo) ktk jamii?Unataka kusema Pascal Mayalla alikuwa anafanya uhariri kwenye hotuba ya Mwigulu?
Mhariri KAZI yake ni kumkosoa na kuhariri Kazi ya mwandishi ili iwe Bora zaidi.
Nafikiri unachanganya kati ya Uchambuzi(mchambuzi) na Uhariri(mhariri)
Pascal alikuwa anafanya uchambuzi wa kile alichozungumza Mwigulu.
Inakuwa ngumu kukueleza kifungu au ethics zilizokiukwa kama unachanganya Mhariri na Mchambuzi kwa muktadha wa ishu ya Pascal
Dogo babako pimbi weweUwe na adabu dogo
Mhariri anapoandika MAONI kwenye gazeti lazima achambue jambo liliozungumzwa au anaaandika maoni yake juu ya jambo lolote (lililozungumzwa au lilipo) ktk jamii?
Sawa. Na mhariri wa gazeti anapoandika maoni kwenye gazeti pia anakuwa hafanyi uhariri bali anakuwa anatoa maoni kama alivyotoa Mayalla.Pascal hakuwa anafanya uhariri.
ni matumaini yangu hili nalo litapita kwa amani
Sawa. Na mhariri wa gazeti anapoandika maoni kwenye gazeti pia anakuwa hafanyi uhariri bali anakuwa anatoa maoni kama alivyotoa Mayalla.
Baseline behaviour na Yale maneno yalitoka wapi.
Kuhusihsa kupendwa na mkewe mlango wa pili kutokea kuropoka kutojali kushangiliwa .
Mbona peupe tu. synchrony inamnanga Singida Bigstar.
Baseline behaviour na Yale maneno yalitoka wapi.
Kuhusihsa kupendwa na mkewe mlango wa pili kutokea kuropoka kutojali kushangiliwa .
Mbona peupe tu. synchrony inamnanga Singida Bigstar.
13. Hakuna uthibitisho wa hisia za mtu kisaikolojia ila viashiria vinaweza kutoa maana zaidi ya moja na kulingana na mtu na mtu.
Kama ndivyo hivi kwa nini wamnase sasa? Kama Pascal Mayalla hawezi kuthibitisha, wao wanawezaje the opposite? Mbona unajicontradict mwenyewe pia? Au mhemko nawe group lilelile?