ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Kucheka na kulia zote ni kelele tu ongezea na kuimba pia ni kelele tu π³ !Ila Bongo kuna ujinga mwingi sana. Hivi hiki ni kitu cha kumtaka mtu kudhibitisha kweli? Hakuna mambo ya msingi ya kujadili? Watu wanarusha drone za hatari huko, sisi tunapeana 24 hrs kwa vitu vya kitoto
Wanamnasa kwa sababu watasema amemsingizia Mwigulu kwamba amechukizwa na Mwigulu hakusema amechukizwa ila alionekana kama amechukizwa.
Mwigulu anaweza akakataa kwamba yeye hakuchukizwa na kauli ya yeye kuongea vile haimaanishi amechukizwa.
Sasa ni kumsingizia si kumnasa kama ulivyosema ni impunity kama kawaida ya watu weusi shitholeni!
Kwasababu wote ni CCMni matumaini yangu hili nalo litapita kwa amani
Yataishia lumumbaIna kayatimba kwa mwgl sahv π
Ova
Watanzania ni watu wapumbavu sana unaweza kusema waziri Mkuu kwa uchaguzi upi uliofanyika ukampa huo uwaziri mkuu?
Watu wenye akili timamu wote wamejiweka mbali na huu upumbavu serikali inayokua madarakani bila kuchaguliwa na watu unategemea inaweza kuletea maendeleo wananchi?Bwashee Afrika hata wakichagua wawili ni haohao wamechagua.
Watakuambia kama hukuchagua ni wewe ila wapo waliochagua.
Ukiwataka watajitokeza hara humu wapo watakuambia walimchagua
Watu wenye akili timamu wote wamejiweka mbali na huu upumbavu serikali inayokua madarakani bila kuchaguliwa na watu unategemea inaweza kuletea maendeleo wananchi?
Nini wewee?Kamdomo kamdomoo
Hujanielewa alafu unaanza kutukanaππ
Tuliza kichwa Bro.
Wanamnasa kwa sababu kumsingizia mtu ni kosa kisheria. Hujui kwamba uzushi ni kosa?
Katika watu ambao nawakubari humu JF na ameanza kua mtu ambae hakwepeshi target anapiga mulemule 10/10 ingawa yeye alisema alipiga 9/10 ni Pascal Mayalla mkuu siku hizi unapiga kwenye mshono sasa wanaona ili kukupunguza kasi wakuekee zengwe la ajabu ajabu next time nipasulie DAB mkuu nitakuandalia zawadi ya kufunga mwaka 2026, ulipasua kuhusu udaktari ukaona haitoshi ukapasua kuhusu eeh mtu kuchukia watu kushangiliwa na kupigiwa makofi endelea kupasua mkuu wasikurudishe nyuma ila hakikisha hawakuteki maana hawachelewiHujanielewa alafu unaanza kutukanaππ
Tuliza kichwa Bro.
Wanamnasa kwa sababu kumsingizia mtu ni kosa kisheria. Hujui kwamba uzushi ni kosa?
Alitoa MAONI sio uhariri. Kumbuka kuwa wazo halipigwi rungu bali huboreshwa zaidi. Kama waliona wazo la Mayalla sio bora (kwa mujibu wa uelewa wao) wangeliboresha kadri watakavyo badala ya kumpinga na kumtaka ajieleze.Huwezi kuhariri hisia za mtu mkuu. Unahariri vipi kitu usicho na uthibirisho?
Alitoa MAONI sio uhariri. Kumbuka kuwa wazo halipigwi rungu bali huboreshwa zaidi. Kama waliona wazo la Mayalla sio bora (kwa mujibu wa uelewa wao) wangeliboresha kadri watakavyo badala ya kumpinga na kumtaka ajieleze.
sababu nonsense sana hiyo gentlemanKwasababu wote ni CCM
alietengeneza hii artwork hajielewi gentleman
Katika watu ambao nawakubari humu JF na ameanza kua mtu ambae hakwepeshi target anapiga mulemule 10/10 ingawa yeye alisema alipiga 9/10 ni Pascal Mayalla mkuu siku hizi unapiga kwenye mshono sasa wanaona ili kukupunguza kasi wakuekee zengwe la ajabu ajabu next time nipasulie DAB mkuu nitakuandalia zawadi ya kufunga mwaka 2026, ulipasua kuhusu udaktari ukaona haitoshi ukapasua kuhusu eeh mtu kuchukia watu kushangiliwa na kupigiwa makofi endelea kupasua mkuu wasikurudishe nyuma ila hakikisha hawakuteki maana hawachelewi
Kumnasa ni kumtia hatiani ili astahili adhabu, kumsingizia ili wamfurahishe mwegulu na mamaduro sio kumnasa japo natofautiana sana na Pascal Mayalla kwa mambo mengi lakini haki ya freedom of speech haiombwi wala haina kupewa na mtu awaye yote ni lazima ilindwe bila kujali uchawa wala uchama so unaweza kurekebisha heading yako! Sisi wazee tunatazama neno kwa neno na maana yake halisiππ
Mimi napenda uwasilishaji ule usiokua na vifungo vifungo au uchawa uchawa kuogopa kwamba nikisema hivi itakua hivi au nikisema hivi watanifanya hivi, napenda uwasilishaji wa uwazi bila kupepesa macho km ni imeiva sema imeiva km ni mbichi sema mbichi ila sio unaona ni mbichi lakini kwa sababu ukisema mbichi utafanywa kitu fulani unasema hii hii imeiva hii imeiva huku unakula kitu kibichi kwa kuwafurahisha watu fulani fulani, sema km ilivyo mbichi ni mbichi au imeiva basi sema imeiva usipindishe maneno sababu ya JABKumnasa, kumtia nyavuni, kumkamata ni kutokana kosa lipo wazi la kuyumba kidogo kufuata maadili ya kazi.
Upo sahihi. Haki ya kutoa maoni ni muhimu.
Lakini Kila sehemu kuna utaratibu wake.
Haki ya Raia wa kawaida kutoa maoni yakw ni tofauti na haki ya wanataaluma kutoa maoni yao.
Hilo lazima ulijue.
Wananchi Wana haki Sawa za kutoa maoni lakini hazilingani.
Ndio maana kuna Codes of conduct kwa watumishi wa umma Ambazo zinawabana tofauti na raia wa kawaida.
So usije ukamdanganya Pascal ajione kama wewe raia wa kawaida au ambaye sip muandishi kwamba haki zenu zinalingana.
Wewe unaweza kutoa maoni impaka yako ikawa mikubwa lakini Pascal mipaka yake ikawa midogo.
Kama atataka kuwa na mipaka mikubwa kama ya raia wakawaida. Ndio Ile unanyang'anywa vyeti au leseni ya uandishi wa habari then unaongea utakavyo.
Napenda mtu anaesema ukweli km ulivyo bila kupindisha pindisha maneno, sema km ilivyo usipindishe sana maneno kupindisha maneno sio. Jambo lenye kuleta afya, wewe mfano ulitaka mkuu Pascal afanye nini amsifie Mwigulu kwamba Mwigulu kukosoa kupigiwa sana makofi na kushangiliwa kwa viongozi wastaafu alikua yupo sahihi na haikumuuma yeye kutokushangiliwa sana, ulitaka Pascal aseme uongo ambao wengi wanajua alichosema ni ukweliWala asihakikishe hawamteki.
Kwa sababu kama kutekwa kupo ni kupo tuu. Huwezi kukwepa.
Muhimu, azingatie Haki na ukweli, upendo na maarifa.
Asiongee kwa hasira au mihemko kwani akifanya hivyo atakosea