Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #101
Napenda mtu anaesema ukweli km ulivyo bila kupindisha pindisha maneno, sema km ilivyo usipindishe sana maneno kupindisha maneno sio. Jambo lenye kuleta afya, wewe mfano ulitaka mkuu Pascal afanye nini amsifie Mwigulu kwamba Mwigulu kukosoa kupigiwa sana makofi na kushangiliwa kwa viongozi wastaafu alikua yupo sahihi na haikumuuma yeye kutokushangiliwa sana, ulitaka Pascal aseme uongo ambao wengi wanajua alichosema ni ukweli
alietengeneza hii artwork hajielewi gentleman
Yes,
Yes,
its true gentleman,
Tanzania is going to be super power of the world because of always aiming higher.
View attachment 3552852
Waziri mkuu ndezi anapata wapi muda wa kufuatilia mahojiano ya mzee asiye na lolote? Muda wa kufanya kazi za watanzania ataupata wapi?
Mzee gani asiye na lolote Mkuu?
Kwenu Hakuna Wazee?
Haujui kufikisha miaka 60+ tuu ni mafanikio ya mwanadamu?
Hujaelewa, sijamaanisha mzee pascal mayala hana lolote unavyofikiria, namaanisha ni mtu mdogo na kauli yake ni maoni ya kawaida, inashangaza rais wa mawe madelu alivyoreact