Pascal Mayalla kazeeka haoni mbele

Jamaa kazeeka maini,
Ameenda kinyume na ule msemo wa ngombe hazeeki main ila tatizo kubwa ni njaa
 
"Read between the lines"
Paschal Mayalla Namkubali sana tokea enzi za ITV miaka ile lakini ana mke na watoto nyumbani wanaomtegemea, kwahiyo tangu alipouliza lile swali kwa yule Bwana Akajibiwa kuwa "Mayalla kwa lugha ya kwao ni njaa" akasoma alama za nyakati, Nyakati zilizopita sio nyakati za sasa kwa lugha ya malkia wanasema aka "BLEND IN" ili aendane na usasa. Heko Kaka Mayalla Wapi Ben Saanane na Azory Gwanda Familia zenu zinalia huku!
 
Nina uhakika zaidi ya nusu ya members wa humu JF wakati ule wa kipindi hicho cha KITIMOTO hata kuzaliwa walikuwa hawa mahali wa maana ni takribani miaka 25 iliyopita.

Na shida moja ya kizazi hiki hawataki kujifunza history, wao history wanayotaka kujifunza ni ya kujibia maswali ya mitihani yao kisha kwa vile wanafaulu wanajiona wanajua wakisemacho.

Hata ile mijadala mizito ya JF siku hizi haipo kwani wataku wakina kawe alumn na state agent na kuiharibu sasa ya nini kujifikirisha kwa kazi ya bure inayo kebehiwa!
 
Halafu wanaomlaumu wao wanaogopa hata kuweka majina yao
 
Kweli mkuu hata kina Sophist hawamo tena mimejaa kizazi cha millennial sidhani hata wanajua kama kulikua na ITV Malumbano ya hoja chini Adam Lusekolo na Kitimoto TDV chini ya Mayalla
 
Wee ukiambiwa umsaidie huyo ben saa 8 utamsaidia nini.
 
Binafsi nimwemwelewa ndio maana hata coment yangu nimeiweka kiutani soma vizuri utaelewa sijamaanisha kama ulivyoielewa
 
Siku hizi mashuleni bado wanafundisha fasihi? Debate zipo?
 
Siku hizi anaunga mkono juhudi za awamu ya tano japo sio kutoka rohoni, anaogopa akisimamia ukweli watamtundulissu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…