Pascal Mayalla kazeeka haoni mbele

Pascal Mayalla kazeeka haoni mbele

Jamaa kazeeka maini,
Ameenda kinyume na ule msemo wa ngombe hazeeki main ila tatizo kubwa ni njaa
 
"Read between the lines"
Paschal Mayalla Namkubali sana tokea enzi za ITV miaka ile lakini ana mke na watoto nyumbani wanaomtegemea, kwahiyo tangu alipouliza lile swali kwa yule Bwana Akajibiwa kuwa "Mayalla kwa lugha ya kwao ni njaa" akasoma alama za nyakati, Nyakati zilizopita sio nyakati za sasa kwa lugha ya malkia wanasema aka "BLEND IN" ili aendane na usasa. Heko Kaka Mayalla Wapi Ben Saanane na Azory Gwanda Familia zenu zinalia huku!
 
Nina uhakika zaidi ya nusu ya members wa humu JF wakati ule wa kipindi hicho cha KITIMOTO hata kuzaliwa walikuwa hawa mahali wa maana ni takribani miaka 25 iliyopita.

Na shida moja ya kizazi hiki hawataki kujifunza history, wao history wanayotaka kujifunza ni ya kujibia maswali ya mitihani yao kisha kwa vile wanafaulu wanajiona wanajua wakisemacho.

Hata ile mijadala mizito ya JF siku hizi haipo kwani wataku wakina kawe alumn na state agent na kuiharibu sasa ya nini kujifikirisha kwa kazi ya bure inayo kebehiwa!
 
Paschal Mayalla Namkubali sana tokea enzi za ITV miaka ile lakini ana mke na watoto nyumbani wanaomtegemea, kwahiyo tangu alipouliza lile swali kwa yule Bwana Akajibiwa kuwa "Mayalla kwa lugha ya kwao ni njaa" akasoma alama za nyakati,Nyakati zilizopita sio nyakati za sasa kwa lugha ya malkia wanasema aka "BLEND IN" ili aendane na usasa. Heko Kaka Mayalla Wapi Ben Saanane na Azory Gwanda Familia zenu zinalia huku!
Halafu wanaomlaumu wao wanaogopa hata kuweka majina yao
 
Nina uhakika zaidi ya nusu ya members wa humu JF wakati ule wa kipindi hicho cha KITIMOTO hata kuzaliwa walikuwa hawa mahali wa maana ni takribani miaka 25 iliyopita.
Na shida moja ya kizazi hiki hawataki kujifunza history, wao history wanayotaka kujifunza ni ya kujibia maswali ya mitihani yao kisha kwa vile wanafaulu wanajiona wanajua wakisemacho.
Hata ile mijadala mizito ya JF siku hizi haipo kwani wataku wakina kawe alumn na state agent na kuiharibu sasa ya nini kujifikirisha kwa kazi ya bure inayo kebehiwa!
Kweli mkuu hata kina Sophist hawamo tena mimejaa kizazi cha millennial sidhani hata wanajua kama kulikua na ITV Malumbano ya hoja chini Adam Lusekolo na Kitimoto TDV chini ya Mayalla
 
Wee ukiambiwa umsaidie huyo ben saa 8 utamsaidia nini.
Pascal wa wakati ule alikua na njaa kubwa ya kuinua kipaji chake na kupata pesa kuwa na kampuni yake. Huyu wa sasa ana familia yake. Mnataka awe shujaa wenu wakati mnashindwa hata kumsaidia Kabendera. Mnashindwa kumsaidia Ben sanane. Huo ushujaa wa kuwafanyia watanzania waliojaa unafiki kwa awamu hii unatoka wapi?
 
Binafsi nimwemwelewa ndio maana hata coment yangu nimeiweka kiutani soma vizuri utaelewa sijamaanisha kama ulivyoielewa
Atleast mtoa mada amemwelezea P!
Jamni mbona mada za Paskal ukizisoma unaona kbs huyu anapaka mafuta kwa mgongo wa chupa??nashidnwa kuelewa why watu hawamwelewi..inafika muda mtu anasema analilia teuzi[emoji1787][emoji1787]!mie mada za Paskal nikisoma hua nacheka had kupaliwa!..anaandika kinyume nyume had unakereka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Atleast mtoa mada amemwelezea P!
Jamni mbona mada za Paskal ukizisoma unaona kbs huyu anapaka mafuta kwa mgongo wa chupa??nashidnwa kuelewa why watu hawamwelewi..inafika muda mtu anasema analilia teuzi🤣🤣!mie mada za Paskal nikisoma hua nacheka had kupaliwa!..anaandika kinyume nyume had unakereka🤣🤣🤣
Siku hizi mashuleni bado wanafundisha fasihi? Debate zipo?
 
Watu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana.
Huyu jamaa hanijui lkn Mimi namjua Sana,Watanzania wengi twamjua Sana,EAC wengi wanamjua Sana ingawa yeye anawanua kwa kuwaona watu wachache Sana,lakini mamilioni ya watu tunamjua.fgggf
Watu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana.
Huyu jamaa hanijui lkn Mimi namjua Sana,Watanzania wengi twamjua Sana,EAC wengi wanamjua Sana ingawa yeye anawanua kwa kuwaona watu wachache Sana,lakini mamilioni ya watu tunamjua.
Kwa sababu gani?
Kwa sababu ni mtu mtangazaji marufu Sana hapa Tanzania,umaarufu wake ulsababishwa na Nini?
Kwa wasiokua historian huyu ndo mwanzilishi wa jina maarufu lililo hai Hadi Leo la KITI MOTO
Neno kiti Moto leo linatumika Kama hivi" da Leo nyumbani nimeweka kiti Moto na wazee kwnini sitaki kuoa"
"Yule mtu Leo kawekwa kiti Moto Hadi kalipa Deni lake"
Lakini kubwa kuliko yote jina Hilo likaitwa kwa hivi,"twendeni nikawanunulie kiti Moto pale wanajua Sana kuitengeneza nyama ya kiti Moto"
Mwanzilishi wa jina au msemo huo maarufu ni Pascal Mayala.
Umaarufu wake ni huu.
Kwa kifupi miaka ya 1995 hivi Kama sijakosea Pascol alianzisha kipindi kilichopendwa na kutazamwa na Watanzania wengi Sana na hata wasio Watanzania,kipindi hiki ukuikosa unajuta,maofisini,mitaani,magengeni,mabaa mahospitalini na maeneo mengine mazungumzo yalikua ni juu ya kipindi Cha Jana usiku Cha kiti Moto.
Kiti Moto ilikua inaita watu maarufu hususan viongozo Pascal alikua anawauliza masuali ambayo kwa kweli walikua wanaona kiti kinaunguza nicha Moto,hata kiongozi ajitetee vipi dogo Pascal atambana tu Hadi mhojiwa atapoteza mwelekeo.
Pascal alihoji maswali Tata Sana Hadi wewe mtazamaji unaanza kumuonea huruma muulizwa.
Kifupi kilikua kipindi kitamu Sana watu making hwakupenda kukosa kukiona.maswali yake yalikua mazuri ya msingi ya kujenga inagawa wakuu walikiona Cha Moto kweli.
Huyu Pascal wa JF sio yule,najua kazeeka yule alikua Bomba akiwepo kwenye press live akipewa nafasi ya kuuliza swali watazamaji wote utulivu ili kumsikiliza.
Huyu wa JF kazeeka
Ameamua kukubalika kutukanwa mitandaoni kisa anatoa mada ngumu kizielewa kwa vijana wa leo.mada za mafumbo,zakuuma na kupuliza,za kutotaka lawama,anaishia kutukanwa na madogo.
Yeye ukimlaumu atakuambua
"Read between the lines"
Swa sababu gani?

Siku hizi anaunga mkono juhudi za awamu ya tano japo sio kutoka rohoni, anaogopa akisimamia ukweli watamtundulissu
 
SAWA bwana

Back
Top Bottom