Pascal Mayalla kazeeka haoni mbele

Mkuu, waanidishi wa habari wakubwa wa miaka ya 1990's walikuwa siyo watu wa mzaha mzaha. Ndiyo maana unaposema kwamba mwaka 1995 aliwahoji wanasiasa wakubwa napata shida mno.
Kama nipo sahihi mwaka 1997 alimhoji Seif Sharif. Alikuwa makini sana. Nisichosahau kuna mualikwa mmoja nadhani shabiki wa Maalim aliuliza swali Pasco akamwambia hakubali maswali ya kipambe!
 
Kwakweli Watanzania mnajua kumnanga mtu.. Paschal akiona haya maneno anaweza kutoa machozi
 
Kwakweli Watanzania mnajua kumnanga mtu.. Paschal akiona haya maneno anaweza kutoa machozi
 
Hapo tu ndio nimekuelewa. Na mimi nikajipatia jibu. Sitamlaumu tena paskal Malaya. Kweli kwa kipindi cha sasa unakuwa rafiki wa wengine pale unapowasimamia kile wanachoamini,tena kwa kupaza sauti. Lakini uki-arestiwa hata ksbb za uongo,wote wanakaa pembeni. Hawachukui hata hatua moja ya kukukomboa,kukupigania,kukulilia. Nimejifunza neno hapa. paskal Mayala nimekuelewa bro
 
Lakini hukuona utoto wewe mwenyewe kuweka quotation marks ukizichanganya na star.
Hapa cha msingi nikuelewa maudhui ya uzi husika na kuachana na vitu vidogo vidogo vinavyojitokeza kwa sababu ya makosa ya uchapaji.
nimesema mpaka mwisho ndio nikajua nimesoma utoto baada ya kuona " lead between the lines* badala ya "read between the lines
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pascal yule wa kiti moto akikutana na pascal huyu wa JF ya awamu ya Meko lazima Pascal wa kitimoto atamtandika mavibao kujaribu kumzindua ila uzuri mleta mada umekiri kuwa ni uzee umemuingia Pascal, ila mimi kwa upande wangu naamini sababu ingine pia ya Pascal kuingiza venje(ubaridi) ni hii ccm ya mataga inakivunja kiti kabla hakijawa cha moto.
ie: kitimoto alichowekwa Pascal Bungeni.

Swali la press la mwisho kuulizwa na Pascal wa kiti moto alimuuliza Magufuli Ikulu na majibu ya swali lile naamini ni moja ya sababu ya Pascal kutumia kiti baridi badala ya kile cha moto kile cha ujanani.
 
M

Sawa kabisa hata Mimi simkadii,Bali namtaka Pascal wetu wa zamani.haha haa.
Mkuu jitahidi matumizi sahihi ya herufi ndogo na kubwa na pia unaweka nukta pasipohusika na kuanza sentensi nyingine kwa herufi ndogo. Kiufupi hata ukiwa umeandika mada nzuri kiasi gani kama uzingatii kanuni za uandishi unapunguza uhondo wa mada.
 
Huyu Paschal Mayalla ,si ndiyo kamchongea ndugu Katambala apelekwe Gerezani?
 
Wanataka aipinge serikali kwenye kila kitu halafu akosee avunje sheria ili akifunguliwa mashtaka waandike free pascal kwa I'd fake.
 
No kweli alikuwa kichanga Paschal 1984 alikuwa Ilboru hgl hivyo wengine kweli wamemjulia humu jf lkn tuliyesoma naye pale Ilboru we know the guy
Oohoooooohhhh!!! 1984 what!?
Ndio mana sirukiagi nyuzi zake kijinga jinga.Nasoma kimya kimya.
Nikielewa natoa "like".
Kinyume chake napita hivi........
 
Keyboard warriors wana njaa na hushtag za free so and so, hawajazipata muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…