Pascal Mayalla kazeeka haoni mbele

Pascal Mayalla kazeeka haoni mbele

Paschal wa kipindi kile alikuwa paschhal sio huyu wa kipindi hichi amebadilika sana ila tusimlaumu sana umri nao na njaa lazma abadilike
Praise and worship team[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu wa JF kazeeka
Ameamua kukubalika kutukanwa mitandaoni kisa anatoa mada ngumu kizielewa kwa vijana wa leo.mada za mafumbo,zakuuma na kupuliza,za kutotaka lawama,anaishia kutukanwa na madogo.
Yeye ukimlaumu atakuambua
"Read between the lines"
Watu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana.
Huyu jamaa hanijui lkn Mimi namjua Sana,Watanzania wengi twamjua Sana,EAC wengi wanamjua Sana ingawa yeye anawanua kwa kuwaona watu wachache Sana,lakini mamilioni ya watu tunamjua.
Kwa sababu gani?
Kwa sababu ni mtu mtangazaji marufu Sana hapa Tanzania,umaarufu wake ulsababishwa na Nini?
Kwa wasiokua historian huyu ndo mwanzilishi wa jina maarufu lililo hai Hadi Leo la KITI MOTO
Neno kiti Moto leo linatumika Kama hivi" da Leo nyumbani nimeweka kiti Moto na wazee kwnini sitaki kuoa"
"Yule mtu Leo kawekwa kiti Moto Hadi kalipa Deni lake"
Lakini kubwa kuliko yote jina Hilo likaitwa kwa hivi,"twendeni nikawanunulie kiti Moto pale wanajua Sana kuitengeneza nyama ya kiti Moto"
Mwanzilishi wa jina au msemo huo maarufu ni Pascal Mayala.
Umaarufu wake ni huu.
Kwa kifupi miaka ya 1995 hivi Kama sijakosea Pascol alianzisha kipindi kilichopendwa na kutazamwa na Watanzania wengi Sana na hata wasio Watanzania,kipindi hiki ukuikosa unajuta,maofisini,mitaani,magengeni,mabaa mahospitalini na maeneo mengine mazungumzo yalikua ni juu ya kipindi Cha Jana usiku Cha kiti Moto.
Kiti Moto ilikua inaita watu maarufu hususan viongozo Pascal alikua anawauliza masuali ambayo kwa kweli walikua wanaona kiti kinaunguza nicha Moto,hata kiongozi ajitetee vipi dogo Pascal atambana tu Hadi mhojiwa atapoteza mwelekeo.
Pascal alihoji maswali Tata Sana Hadi wewe mtazamaji unaanza kumuonea huruma muulizwa.
Kifupi kilikua kipindi kitamu Sana watu making hwakupenda kukosa kukiona.maswali yake yalikua mazuri ya msingi ya kujenga inagawa wakuu walikiona Cha Moto kweli.
Huyu Pascal wa JF sio yule,najua kazeeka yule alikua Bomba akiwepo kwenye press live akipewa nafasi ya kuuliza swali watazamaji wote utulivu ili kumsikiliza.

[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Mlifumaniana guest nini? Wivu wenu wa kuchukuliana mwamume usiulete hapa
Afadhari umemwambia,jamaa mjinga Sana anataka kuharibu mada.Pascal ni mtu maarufu,ni super star Kama mastaa wengine,Anijua kazi yake na ni mjenga hoja mzuri tu.Sasa jamaa anakuja na utumbo wake.tuachane nae.tuendelee kumtaka Pascal orijino arudi.
 
Siku hizi anaunga mkono juhudi za awamu ya tano japo sio kutoka rohoni, anaogopa akisimamia ukweli watamtundulissu
Sasa Mkuu shida ni kwamba Sisi mashabiki wake wa zamani tunakosa uhalisia wa vionjo vitamu vya Pascal orijino,Kill mtangazaji ana vionjo vyake,kipindi Cha Kitimoto watu tulikua hatuchezi mbali na nyumbani,jamaa alikua vizuri Sana na nnaamini bado Yuko vizuri,sasa staili yake hii inapelekea vijana wasiomjua kumshambulia bila kujua wakidhani ni mwandishi wa mitandaoni tu kumbe ni wa level za juu Sana ktk tasnia ya habari.Mimi mwenyewe namkubali lakini naonaga vijana wanavyomshambulia.
Labda ili atoe hisia zake halisi Basi aje na ID tofauti.zaidi ya happy kashazeeka.vijana wa siku hizi muda wa kusoma na kuchambua mafumbo hawana wanaishia kumlaumu tu.
Alisha kuwa star akubalia na lawama mambo yakienda kinyume na matarajio ya mashabiki.
 
Watu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana.
Huyu jamaa hanijui lkn Mimi namjua Sana,Watanzania wengi twamjua Sana,EAC wengi wanamjua Sana ingawa yeye anawanua kwa kuwaona watu wachache Sana,lakini mamilioni ya watu tunamjua.
Kwa sababu gani?
Kwa sababu ni mtu mtangazaji marufu Sana hapa Tanzania,umaarufu wake ulsababishwa na Nini?
Kwa wasiokua historian huyu ndo mwanzilishi wa jina maarufu lililo hai Hadi Leo la KITI MOTO
Neno kiti Moto leo linatumika Kama hivi" da Leo nyumbani nimeweka kiti Moto na wazee kwnini sitaki kuoa"
"Yule mtu Leo kawekwa kiti Moto Hadi kalipa Deni lake"
Lakini kubwa kuliko yote jina Hilo likaitwa kwa hivi,"twendeni nikawanunulie kiti Moto pale wanajua Sana kuitengeneza nyama ya kiti Moto"
Mwanzilishi wa jina au msemo huo maarufu ni Pascal Mayala.
Umaarufu wake ni huu.
Kwa kifupi miaka ya 1995 hivi Kama sijakosea Pascol alianzisha kipindi kilichopendwa na kutazamwa na Watanzania wengi Sana na hata wasio Watanzania,kipindi hiki ukuikosa unajuta,maofisini,mitaani,magengeni,mabaa mahospitalini na maeneo mengine mazungumzo yalikua ni juu ya kipindi Cha Jana usiku Cha kiti Moto.
Kiti Moto ilikua inaita watu maarufu hususan viongozo Pascal alikua anawauliza masuali ambayo kwa kweli walikua wanaona kiti kinaunguza nicha Moto,hata kiongozi ajitetee vipi dogo Pascal atambana tu Hadi mhojiwa atapoteza mwelekeo.
Pascal alihoji maswali Tata Sana Hadi wewe mtazamaji unaanza kumuonea huruma muulizwa.
Kifupi kilikua kipindi kitamu Sana watu making hwakupenda kukosa kukiona.maswali yake yalikua mazuri ya msingi ya kujenga inagawa wakuu walikiona Cha Moto kweli.
Huyu Pascal wa JF sio yule,najua kazeeka yule alikua Bomba akiwepo kwenye press live akipewa nafasi ya kuuliza swali watazamaji wote utulivu ili kumsikiliza.
Huyu wa JF kazeeka
Ameamua kukubalika kutukanwa mitandaoni kisa anatoa mada ngumu kizielewa kwa vijana wa leo.mada za mafumbo,zakuuma na kupuliza,za kutotaka lawama,anaishia kutukanwa na madogo.
Yeye ukimlaumu atakuambua
"Read between the lines"
Mnasemaga ukabila umeisha , upo sana na huyu ni mkabila halisi
 
Mazingira Ya sasa Ya nchi yanamfanya awe hivyo kinyume chake atazikwa kabla Ya Siku zake
 
Kumbe Pascal ni zee halafu linakuwa linaandika ujinga.
Hapana anaandika kwa akili kubwa Sana ambayo inataka muda na utulivu kumuelewa,sasa vijana wengi wa siku hizi hawana huo muda.Mimi namkubali Sana Pascal.sasa najifikiriaga kwa Nini atukanwe namna hii?kwa Nini asitafute ID nyingine ili tuwe tunapata nondo zake ambazo zimenyooka zenye uhalisia?
Kwa kifupi jamaa ni kichwa,kichwa kwelikweli,tulikua hatukosi kipindi chake ndio mwanzilishi wa Neno "Kitimoto"
 
Yaani ameanzishiwa na thread kabisa. Tatizo watu hawamuelewi, ni mwandishi mzuri, anatumia zaidi sarcasm na wakati mwingine satire.
Tena ni mwanahabari mwenye maswali yenye mashiko Sana tu.Jamaa Yuko vizuri ktk fani yake.
 
Kama nipo sahihi mwaka 1997 alimhoji Seif Sharif. Alikuwa makini sana. Nisichosahau kuna mualikwa mmoja nadhani shabiki wa Maalim aliuliza swali Pasco akamwambia hakubali maswali ya kipambe!
Nakumbuka mtanange wa Maalim Seif na Pascal wa Kitimoto.
 
Paschal Mayalla Namkubali sana tokea enzi za ITV miaka ile lakini ana mke na watoto nyumbani wanaomtegemea, kwahiyo tangu alipouliza lile swali kwa yule Bwana Akajibiwa kuwa "Mayalla kwa lugha ya kwao ni njaa" akasoma alama za nyakati,Nyakati zilizopita sio nyakati za sasa kwa lugha ya malkia wanasema aka "BLEND IN" ili aendane na usasa. Heko Kaka Mayalla Wapi Ben Saanane na Azory Gwanda Familia zenu zinalia huku!

Sawa. Ameona mbali.
 
Back
Top Bottom