Pascal Mayalla kazeeka haoni mbele

Paschal wa kipindi kile alikuwa paschhal sio huyu wa kipindi hichi amebadilika sana ila tusimlaumu sana umri nao na njaa lazma abadilike
Praise and worship team[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu wa JF kazeeka
Ameamua kukubalika kutukanwa mitandaoni kisa anatoa mada ngumu kizielewa kwa vijana wa leo.mada za mafumbo,zakuuma na kupuliza,za kutotaka lawama,anaishia kutukanwa na madogo.
Yeye ukimlaumu atakuambua
"Read between the lines" [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Mlifumaniana guest nini? Wivu wenu wa kuchukuliana mwamume usiulete hapa
Afadhari umemwambia,jamaa mjinga Sana anataka kuharibu mada.Pascal ni mtu maarufu,ni super star Kama mastaa wengine,Anijua kazi yake na ni mjenga hoja mzuri tu.Sasa jamaa anakuja na utumbo wake.tuachane nae.tuendelee kumtaka Pascal orijino arudi.
 
Siku hizi anaunga mkono juhudi za awamu ya tano japo sio kutoka rohoni, anaogopa akisimamia ukweli watamtundulissu
Sasa Mkuu shida ni kwamba Sisi mashabiki wake wa zamani tunakosa uhalisia wa vionjo vitamu vya Pascal orijino,Kill mtangazaji ana vionjo vyake,kipindi Cha Kitimoto watu tulikua hatuchezi mbali na nyumbani,jamaa alikua vizuri Sana na nnaamini bado Yuko vizuri,sasa staili yake hii inapelekea vijana wasiomjua kumshambulia bila kujua wakidhani ni mwandishi wa mitandaoni tu kumbe ni wa level za juu Sana ktk tasnia ya habari.Mimi mwenyewe namkubali lakini naonaga vijana wanavyomshambulia.
Labda ili atoe hisia zake halisi Basi aje na ID tofauti.zaidi ya happy kashazeeka.vijana wa siku hizi muda wa kusoma na kuchambua mafumbo hawana wanaishia kumlaumu tu.
Alisha kuwa star akubalia na lawama mambo yakienda kinyume na matarajio ya mashabiki.
 
Mnasemaga ukabila umeisha , upo sana na huyu ni mkabila halisi
 
Mazingira Ya sasa Ya nchi yanamfanya awe hivyo kinyume chake atazikwa kabla Ya Siku zake
 
Kumbe Pascal ni zee halafu linakuwa linaandika ujinga.
Hapana anaandika kwa akili kubwa Sana ambayo inataka muda na utulivu kumuelewa,sasa vijana wengi wa siku hizi hawana huo muda.Mimi namkubali Sana Pascal.sasa najifikiriaga kwa Nini atukanwe namna hii?kwa Nini asitafute ID nyingine ili tuwe tunapata nondo zake ambazo zimenyooka zenye uhalisia?
Kwa kifupi jamaa ni kichwa,kichwa kwelikweli,tulikua hatukosi kipindi chake ndio mwanzilishi wa Neno "Kitimoto"
 
Yaani ameanzishiwa na thread kabisa. Tatizo watu hawamuelewi, ni mwandishi mzuri, anatumia zaidi sarcasm na wakati mwingine satire.
Tena ni mwanahabari mwenye maswali yenye mashiko Sana tu.Jamaa Yuko vizuri ktk fani yake.
 
Kama nipo sahihi mwaka 1997 alimhoji Seif Sharif. Alikuwa makini sana. Nisichosahau kuna mualikwa mmoja nadhani shabiki wa Maalim aliuliza swali Pasco akamwambia hakubali maswali ya kipambe!
Nakumbuka mtanange wa Maalim Seif na Pascal wa Kitimoto.
 

Sawa. Ameona mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…