Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Pascal Mayalla anaweza gombea kupitia CCM? i bet so. Ndo chama pekee ambacho mtu ambaye atateuliwa kugombea kupitia chama hicho atapata Ubunge. Na hili ndilo jambo ambalo limewafanya wengi wachukue form sababu uhakika upo.
Nmeshangaa kidogo suala hilo lakini nkakumbuka kuwa pasko mayala naye ni binadamu ana familia yake ambayo inamtegemea so ni wazi angependa kuchanga vyema karata zake ili aweze pata "kula"
Mimi namshauri CCM NDO CHAMA CHA UHAKIKA IKISHINDIKANA BASI NCCR au ACT but kwa chadema hawezi pata.