Ndio maana tumejifungia MBOCHI bro.Naunga mkono hoja,Vita haikimbiwi jamani...hata daktari na nesi wana roho pia huu ubinafsi wa viongozi wetu siyo sawa. Jifungie ukitaka tusilazimishane mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumai Pascal aliambatanisha na kifungu cha sheria zinazompa ndugai mamlaka hayo.Wakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama ilivyo kwa Rais na Jaji mkuu na kwa kutumia nguvu hizo maamuzi ya Spika Ndugai ni halali kabisa.
Jackton Manyerere anakubaliana na Pascal katika hili.
Mjadala unaendelea, karibu.
Maendeleo hayana vyama!
Wana Lumumba wanasema Magu ni nabii na Covid imeshaisha kwa Tz/Africa.Tupate mstakabala wa Corona kwanza haya mengine ni kelele tu.
Wana Lumumba wanasema Magu ni nabii na Covid imeshaisha kwa Tz/Africa.
Hiyo nguvu ya ziada waliyonayo ipo kwenye katiba? Ipo kwenye kanuni za bunge?Wakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama ilivyo kwa Rais na Jaji mkuu na kwa kutumia nguvu hizo maamuzi ya Spika Ndugai ni halali kabisa.
Jackton Manyerere anakubaliana na Pascal katika hili.
Mjadala unaendelea, karibu.
Maendeleo hayana vyama!
Aliyeelewa ameelewaMwandishi wa habari amekuwa nyoka?
Pascal mayalla na musiba ni shirika, wamo kwenye payroll ya bashite.Ndugu pasco anatumia tumbo kufikiri.
Msamehe bure. Bora uangalie chanel ya katuni mkuu kuliko huo utopolo
komesha korona
Ameingiliwaje?Hata mimi naunga mkono kisheria spika ndo kiongozi mkuu wa bunge itakuwaje watu wamuingilie kwenye mamlaka zakei
Hapa Pascal amepotosha. Alianza vizuri kueleza kuwa Raisi hata akishauriwa, hafungwi na ushauri wowote, maamuzi ni yake. Hili halina ubishi kwani sheria pia husema hivyo. Ameboronga alivyo sema kuwa kwa spika ni hivyo hivyo katika muktadha wa uondolewaji wa wabunge. Hapa kuna sheria na kanuni ambazo zinamfunga kila mtu-chama, bunge na serikali. Spika hana "discretion" hapa -kama chama kimefuata sheria katika kumfukuza mbunge uanachama, mbunge huyo anakuwa ana chama na anafukuzwa mara moja vinginevyo anaweza kwenda mahakamani (kama Zitto na wengine walivyofanya). Spika atakataa kuwafukuza ubunge tu akijiridhisha kuwa chama kimekwenda kinyume na sheria. Hili la kusema mbunge anawatumikia wananchi sitamuondoa ni ujinga au upumbavu, kwani kwa Tanzania mbunge hutumikia wananchi kupitia chama chake (na sheria yetu husema hivyo). Hata Raisi kama chama chake kitamfukuza basi anamwaga unga. Ukimruhusu Spika kutumia utashi wake na si sheria ndio haya tunayo yaona. Hati Mwambe hajaandika barua kwa Spika-Mwambe ana kadi ya CCM na amehama chama hadharani, lakini kwa kuikomoa CDM basi spika anaamua (na Pascal na Manyerere wanaona poa tu). Wabunge wa CUF waliondolewa bungeni kwa speed ya umeme hakukuwa na tahadhari yeyote. Speed ile ilikuwa kukwepa yanayoweza kutokea kama watakwenda mahakamani. Kwa ufupi Spika Ndugai anatumia ubabe wa ubovu wa sheria na kanuni za bunge kufanya haya maamuzi.Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama ilivyo kwa Rais na Jaji mkuu na kwa kutumia nguvu hizo maamuzi ya Spika Ndugai ni halali kabisa.
Jackton Manyerere anakubaliana na Pascal katika hili.
Aisee hapo kwny trending news zote ni za mambo ya Corona mkuu.Nguvu kubwa sana inatumika ku suppress issue ya Corona badala ya kupambana na Corona.
Angalia pale juu trending zote ni Corona. Ila angalia vi nyuzi uchwara kwenye majukwaa mchanganyiko na siasa kujaribu kuhamimisha magoli. Mara CHADEMA, mara mtatiro nk.
Hatudanganyiki:
View attachment 1451521
Kuwa kiongozi mkuu haimaanishi unafanya ulitakalo. Kunatakiwa kuwe na sheria na kanuni zinazo muongoza.Hata mimi naunga mkono kisheria spika ndo kiongozi mkuu wa bunge itakuwaje watu wamuingilie kwenye mamlaka zakei
Aisee hapo kwny trending news zote ni za mambo ya Corona mkuu.