Pascal Mayalla na Jacton Manyerere wakubaliana na Spika Ndugai kwa uamuzi wa kumrejesha Mwambe na wabunge 4 waliofukuzwa CHADEMA

Watetezi wa Paskal mayala Ndungai jina lake kuanzia leo litakuwa Paskal Ndungai mayala keshakuwa Mtoto wa Ndungai na mda huu anaishi kwa zidumu fikra zisizo sahihi za Ndungai
 
Paskal Ndungai mayala popote ulipo ujue umelaaniwa kwa kubariiki ushetani wote wanaotendewa chadema
 
Kuna wakati Mkuu alisema kwa lugha ya kwao Mayalla maana yake ni Njaaa.
 
Hivi mwenye akili angalau za darasa la Saba anaweza kuwaamini hao akina Jackson na Mayalla? Kwa hiyo wao wanajua sisi watanzania ni wajinga kiasi hicho? Kama angefukuzwa mbunge wa CCM na chama chake spika angekuwa na ujasiri wa kumrudisha bungeni? Huko ni kupambana na katiba na siyo Chadema.
 
CCM wako wawazi sana katika vikao vyao na hasa linapokuja swala la kufukuza wanachama.

Sasa Chadema Mbowe alikuwa anaongoza kikao kutokea nyumbani huku wakiwatenga akina Silinde ambao ni wajumbe wa kamati kuu!
 
Dotto angesema maneno haya ya kifedhuli ningeshangaa sana, lakini hao wengine bora kuangalia Tom & Jerry!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine humjuia vizuri Paskal mayala kwa sasa anataabika kwa njaa ndiyo maana kajitoa fahamu kukumbatia ushetani wa Ndungai apate uteuzi
Labda Magufuli ana pata taabu kumteua Paskali kwa kigezo cha reality check.
Yawezekana Paskali wa juzi na leo ni vitu viwili tofauti.
Labda Paskali kazaliwa mara ya pili,tuheshimu maamuzi yake.
 
Kati ya mpini na shoka ni kipi kinaua miti? Na kabla ya kutafuta kifutio hakikisha hukosei corona ni janga la taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi "nguvu za ziada" zimeelezwa wapi? Hata Marekani ambako Rais wake peke yake ndie mwenye mamlaka ya kutoa " executive order" hiyo " executive order" inakuwa batili ikionekana inapingana na Katiba. Hapa kwetu itakuwa vizuri kama ikielezwa wapi katika Katiba inatoa mamlaka ya kuvunja kwa kutumia "nguvu za ziada" na katika mazingira gani. Ninavyojua ni kuwa mazingira pekee ambayo Katiba inaweza kuwekwa pembeni ni pale Rais anapotangaza " State of Emergency ". Kwa vile Spika na Jaji Mkuu hawana mamlaka ya kutangaza " State of Emergency " basi hawawezi kuiweka pembeni Katiba. Kumpa Spika mamlaka hayo kutamwezesha k.m. kuongeza kipindi cha Bunge au kumrudisha Bungeni mbunge yeyote ambae anaamini kuwa hakutendewa haji na chama chake. Na badala ya kumsimamisha ubunge mtu mkorofi, atakuwa na uwezo wa kumnyang'anya kabisa!

Amandla...
 
Hata Prof Kitila aliwahi kusema hivyo hivyo..... Lakini alipoteuliwa siku ya kuapishwa alifika Ikulu saa 12.00 asubuhi!
Hilo ni moja ya matatizo makubwa yetu waafrika. Hata wasomi wengi ni wachumia tumbo(TUMBO MBELE), hata kama itahatarisha maisha ya 'SHANGAZI' yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…