Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda uzingatie kuwa watanzania siyo wajinga hawaamini propaganda za kishamba sasaMuda utaongea bwashee!
Kuna wakati Mkuu alisema kwa lugha ya kwao Mayalla maana yake ni Njaaa.Wakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama ilivyo kwa Rais na Jaji mkuu na kwa kutumia nguvu hizo maamuzi ya Spika Ndugai ni halali kabisa.
Jackton Manyerere anakubaliana na Pascal katika hili.
Pascal anasema kuna madai mitandaoni kuwa kwa sababu Spika na naibu wake ni wana CCM wamekuwa na kuwaida ya kuwapendelea wabunge wa chama chao ndio sababu Lisu na Nassari walifukuzwa lakini Muhongo na Mkono bado wanadunda japo hawapo bungeni.
Manyerere ambaye anatoka jimboni kwa Mkono amesema mbunge wake ni mgonjwa kwa takribani miaka mitano sasa na amewataka watu waache kumsema sema vibaya kwani siyo utamaduni wa kitanzania kuwateta wagonjwa.
Wanamjadala kwa pamoja wanasema ni vema sasa Tanzania ikawa na wagombea binafsi kwa sababu hii hama hama haina tija ni sawa tu na Uhujumu uchumi.
Mjadala umemalizika, nawashukuruni sana Dotto Bulendu na Pascal Mayalla kwa mjadala huu.
Maendeleo hayana vyama!
Hivi mwenye akili angalau za darasa la Saba anaweza kuwaamini hao akina Jackson na Mayalla? Kwa hiyo wao wanajua sisi watanzania ni wajinga kiasi hicho? Kama angefukuzwa mbunge wa CCM na chama chake spika angekuwa na ujasiri wa kumrudisha bungeni? Huko ni kupambana na katiba na siyo Chadema.Wakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama ilivyo kwa Rais na Jaji mkuu na kwa kutumia nguvu hizo maamuzi ya Spika Ndugai ni halali kabisa.
Jackton Manyerere anakubaliana na Pascal katika hili.
Pascal anasema kuna madai mitandaoni kuwa kwa sababu Spika na naibu wake ni wana CCM wamekuwa na kuwaida ya kuwapendelea wabunge wa chama chao ndio sababu Lisu na Nassari walifukuzwa lakini Muhongo na Mkono bado wanadunda japo hawapo bungeni.
Manyerere ambaye anatoka jimboni kwa Mkono amesema mbunge wake ni mgonjwa kwa takribani miaka mitano sasa na amewataka watu waache kumsema sema vibaya kwani siyo utamaduni wa kitanzania kuwateta wagonjwa.
Wanamjadala kwa pamoja wanasema ni vema sasa Tanzania ikawa na wagombea binafsi kwa sababu hii hama hama haina tija ni sawa tu na Uhujumu uchumi.
Mjadala umemalizika, nawashukuruni sana Dotto Bulendu na Pascal Mayalla kwa mjadala huu.
Maendeleo hayana vyama!
Yaani hadi unamwonea hurumaHata Manyerere naona kesha ishiwa pumzi sasa
In God we Trust
CCM wako wawazi sana katika vikao vyao na hasa linapokuja swala la kufukuza wanachama.Hivi mwenye akili angalau za darasa la Saba anaweza kuwaamini hao akina Jackson na Mayalla? Kwa hiyo wao wanajua sisi watanzania ni wajinga kiasi hicho? Kama angefukuzwa mbunge wa CCM na chama chake spika angekuwa na ujasiri wa kumrudisha bungeni? Huko ni kupambana na katiba na siyo Chadema.
Dotto angesema maneno haya ya kifedhuli ningeshangaa sana, lakini hao wengine bora kuangalia Tom & Jerry!Wakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama ilivyo kwa Rais na Jaji mkuu na kwa kutumia nguvu hizo maamuzi ya Spika Ndugai ni halali kabisa.
Jackton Manyerere anakubaliana na Pascal katika hili.
Pascal anasema kuna madai mitandaoni kuwa kwa sababu Spika na naibu wake ni wana CCM wamekuwa na kuwaida ya kuwapendelea wabunge wa chama chao ndio sababu Lisu na Nassari walifukuzwa lakini Muhongo na Mkono bado wanadunda japo hawapo bungeni.
Manyerere ambaye anatoka jimboni kwa Mkono amesema mbunge wake ni mgonjwa kwa takribani miaka mitano sasa na amewataka watu waache kumsema sema vibaya kwani siyo utamaduni wa kitanzania kuwateta wagonjwa.
Wanamjadala kwa pamoja wanasema ni vema sasa Tanzania ikawa na wagombea binafsi kwa sababu hii hama hama haina tija ni sawa tu na Uhujumu uchumi.
Mjadala umemalizika, nawashukuruni sana Dotto Bulendu na Pascal Mayalla kwa mjadala huu.
Maendeleo hayana vyama!
Mchawi yuko ndani ya Chadema bwashee!Paskal Ndungai mayala popote ulipo ujue umelaaniwa kwa kubariiki ushetani wote wanaotendewa chadema
Labda Magufuli ana pata taabu kumteua Paskali kwa kigezo cha reality check.Pengine humjuia vizuri Paskal mayala kwa sasa anataabika kwa njaa ndiyo maana kajitoa fahamu kukumbatia ushetani wa Ndungai apate uteuzi
Kati ya mpini na shoka ni kipi kinaua miti? Na kabla ya kutafuta kifutio hakikisha hukosei corona ni janga la taifaWakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama ilivyo kwa Rais na Jaji mkuu na kwa kutumia nguvu hizo maamuzi ya Spika Ndugai ni halali kabisa.
Jackton Manyerere anakubaliana na Pascal katika hili.
Pascal anasema kuna madai mitandaoni kuwa kwa sababu Spika na naibu wake ni wana CCM wamekuwa na kuwaida ya kuwapendelea wabunge wa chama chao ndio sababu Lisu na Nassari walifukuzwa lakini Muhongo na Mkono bado wanadunda japo hawapo bungeni.
Manyerere ambaye anatoka jimboni kwa Mkono amesema mbunge wake ni mgonjwa kwa takribani miaka mitano sasa na amewataka watu waache kumsema sema vibaya kwani siyo utamaduni wa kitanzania kuwateta wagonjwa.
Wanamjadala kwa pamoja wanasema ni vema sasa Tanzania ikawa na wagombea binafsi kwa sababu hii hama hama haina tija ni sawa tu na Uhujumu uchumi.
Mjadala umemalizika, nawashukuruni sana Dotto Bulendu na Pascal Mayalla kwa mjadala huu.
Maendeleo hayana vyama!
Yaani hadi unamwonea huruma
Mchawi yuko ndani ya Chadema bwashee!
Hizi "nguvu za ziada" zimeelezwa wapi? Hata Marekani ambako Rais wake peke yake ndie mwenye mamlaka ya kutoa " executive order" hiyo " executive order" inakuwa batili ikionekana inapingana na Katiba. Hapa kwetu itakuwa vizuri kama ikielezwa wapi katika Katiba inatoa mamlaka ya kuvunja kwa kutumia "nguvu za ziada" na katika mazingira gani. Ninavyojua ni kuwa mazingira pekee ambayo Katiba inaweza kuwekwa pembeni ni pale Rais anapotangaza " State of Emergency ". Kwa vile Spika na Jaji Mkuu hawana mamlaka ya kutangaza " State of Emergency " basi hawawezi kuiweka pembeni Katiba. Kumpa Spika mamlaka hayo kutamwezesha k.m. kuongeza kipindi cha Bunge au kumrudisha Bungeni mbunge yeyote ambae anaamini kuwa hakutendewa haji na chama chake. Na badala ya kumsimamisha ubunge mtu mkorofi, atakuwa na uwezo wa kumnyang'anya kabisa!Wakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama ilivyo kwa Rais na Jaji mkuu na kwa kutumia nguvu hizo maamuzi ya Spika Ndugai ni halali kabisa.
Jackton Manyerere anakubaliana na Pascal katika hili.
Pascal anasema kuna madai mitandaoni kuwa kwa sababu Spika na naibu wake ni wana CCM wamekuwa na kuwaida ya kuwapendelea wabunge wa chama chao ndio sababu Lisu na Nassari walifukuzwa lakini Muhongo na Mkono bado wanadunda japo hawapo bungeni.
Manyerere ambaye anatoka jimboni kwa Mkono amesema mbunge wake ni mgonjwa kwa takribani miaka mitano sasa na amewataka watu waache kumsema sema vibaya kwani siyo utamaduni wa kitanzania kuwateta wagonjwa.
Wanamjadala kwa pamoja wanasema ni vema sasa Tanzania ikawa na wagombea binafsi kwa sababu hii hama hama haina tija ni sawa tu na Uhujumu uchumi.
Mjadala umemalizika, nawashukuruni sana Dotto Bulendu na Pascal Mayalla kwa mjadala huu.
Maendeleo hayana vyama!
Kumbe wee huna uwezo wa kukataa? Tatizo la wasaka tonge ndo linaanzia hapo. Mwenye jina hilo alikuwa na msimamo.Wewe ukiteuliwa utakataa!
Mbona unajihami bwashee!Kumbe wee huna uwezo wa kukataa? Tatizo la wasaka tonge ndo linaanzia hapo. Mwenye jina hilo alikuwa na msimamo.
Hilo ni moja ya matatizo makubwa yetu waafrika. Hata wasomi wengi ni wachumia tumbo(TUMBO MBELE), hata kama itahatarisha maisha ya 'SHANGAZI' yake.Hata Prof Kitila aliwahi kusema hivyo hivyo..... Lakini alipoteuliwa siku ya kuapishwa alifika Ikulu saa 12.00 asubuhi!
Hata Mbowe akiteuliwa kuwa Katibu mkuu wa wizara, anawaachieni Chadema!Hilo ni moja ya matatizo makubwa yetu waafrika. Hata wasomi wengi ni wachumia tumbo(TUMBO MBELE), hata kama itahatarisha maisha ya 'SHANGAZI' yake.
Hilo ni moja ya matatizo makubwa yetu waafrika. Hata wasomi wengi ni wachumia tumbo(TUMBO MBELE), hata kama itahatarisha maisha ya 'SHANGAZI' yake.Mbona unajihami bwashee!
Hapo Ufipa unasakaa nini!!!......... Dr Mashinji kwanini aliwakimbia?