Angalau kidogo P anauma na kupuliza kwa mbali, huyo Musiba ni msiba kweli yaani kavaa mabomu mwili mzima.Pascal mayalla na musiba ni shirika, wamo kwenye payroll ya bashite.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau kidogo P anauma na kupuliza kwa mbali, huyo Musiba ni msiba kweli yaani kavaa mabomu mwili mzima.Pascal mayalla na musiba ni shirika, wamo kwenye payroll ya bashite.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa keshawathibitishia msimamo wake HADHARANI.Hata Mbowe akiteuliwa kuwa Katibu mkuu wa wizara, anawaachieni Chadema!
Twasubiri kwa hamu.Hilo la kupiga risasi Lwakatare atalitolea ufafanuzi wiki ijayo.....na ndipo wabunge wengine 11 watakapotimka na Chadema kubakia na wabunge watatu tu!
Biashara gani aliyoharibiwa?!Mpaka sasa keshawathibitishia msimamo wake HADHARANI.
Mmeisha hangaika sana kumrubuni, kumtisha mpaka hata kwa kumharibia biashara zake lakini bado yuko imara.
Wa aina hii wanazidi kuwa ADIMU hapa TZ na hata Africa.
Mungu atazidi kumbariki na kumuongezea UIMARA ili aushinde moto huu wa majaribu.
Nilikuwa mfuasi nkubwa Sana wa Pasukali enzi zake za ubora wa mawazo yake. Tangu alipoambiwa na tafsiri ta mayala kisukuma Kuwa ni njaa, basi nayo nguvu ya kufikiri imrgeukia njaa. Hana mvuto tena namnet mabandiko yake. Nayaruka kula nionapo maana kuyasoma kunaniharibia siku.Wanasemaga paskali siku hizi anaongea kinyume kinyume, ili kulinda kitumbua chake, pale penye kusema wewe mbaya anaweka mzuri, yaani mfanoi baada kukuambia utaenda motoni anasema kwa wizi huo uliofanya unaenda peponi kabisa, wakati kila mtu anajua mwizi sehemu yake ni wapi, kifupi jamaa anafanya ucomedy.
nani anataka mambo ya kutekana mchana kweupe, siku ukutwe imejinyonga huko mwabwe pande wakati miti imejaa tele kila sehemu mpaka uifate Ile kule ya mwabepande, sijui ukijinyonga nayo unaenda peponi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtabakia vipande vipande!Twasubiri kwa hamu.
Bwashee unapaswa kwenda na wakati......usikariri maisha!Nilikuwa mfuasi nkubwa Sana wa Pasukali enzi zake za ubora wa mawazo yake. Tangu alipoambiwa na tafsiri ta mayala kisukuma Kuwa ni njaa, basi nayo nguvu ya kufikiri imrgeukia njaa. Hana mvuto tena namnet mabandiko yake. Nayaruka kula nionapo maana kuyasoma kunaniharibia siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarabu hiyo alianza kuiimba Mzee Wasira, siku nyingi kabla hata haujafikiriwa kuzaliwa.Mtabakia vipande vipande!
Hahahaaaa....... Endelea kukariri bwashee!Taarabu hiyo alianza kuiimba Mzee Wasira, siku nyingi kabla hata haujafikiriwa kuzaliwa.
Sijui umeongea nini hapo. Pole sana. Kanten supu ulale.Bwashee unapaswa kwenda na wakati......usikariri maisha!
Lakini pascal mayalla alijaribu kufafanua maana ya exclusive power walizonazo viongozi wa mihimili,wewe mtoa mada hukusikia uchambuzi vizuri ni vizuri ukalejelea upya kile kipindi ili ujiridhishe
Mwambe amesema wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM na kuwa anatarajia kuingia tena Bunge kupitia chama hicho. Hivyo amerudi Bungeni kama mwanachama wa CCM anayewakilisha jimbo lake kupitia Chadema. Go figure...kuna katiba na sheria, halafu kuna "exclusive powers."?
..sasa hapo ndiyo kuna uchochoro wa kuvunja sheria, na kuwa na double standards.
..kwa mfano, "exlusive powers" za Spika zilitumika kumfukuza ubunge Nassari bila kumpa nafasi ya kujitetea.
.."exclusive powers" hizo tena zinataka kumrudisha bungeni Cecil Mwambe ambaye kwa hiari yake alikihama chama chake.
..Spika anadai anataka barua ya kikao cha CDM kumvua uanachama Cecil Mwambe!! Barua ya namna hiyo ya nini wakati Mwambe alitangaza mwenyewe ktk vyombo vya habari? Na muda umepita bila Mwambe kukanusha habari hizo, na pia ameacha kuhudhuria vikao vya bunge.
NGAWETHUMwambe amesema wazi kuwa yeye ni mwanachama wa CCM na kuwa anatarajia kuingia tena Bunge kupitia chama hicho. Hivyo amerudi Bungeni kama mwanachama wa CCM anayewakilisha jimbo lake kupitia Chadema. Go figure.
Amandla....
Wakuu Dotto Bulendu, Pascal Mayalla na Jackton Manyerere wako mubashara Star tv wakijadili uhalali wa Spika Ndugai kumrejesha bungeni Cecil Mwambe na kuwabakiza bungeni Selasini, Silinde, Komu na Lwakatare.
Pascal anasisitiza kuwa Spika ana nguvu za " ziada" katika kufikia maamuzi fulani kama ilivyo kwa Rais na Jaji mkuu na kwa kutumia nguvu hizo maamuzi ya Spika Ndugai ni halali kabisa.
Jackton Manyerere anakubaliana na Pascal katika hili.
Pascal anasema kuna madai mitandaoni kuwa kwa sababu Spika na naibu wake ni wana CCM wamekuwa na kuwaida ya kuwapendelea wabunge wa chama chao ndio sababu Lisu na Nassari walifukuzwa lakini Muhongo na Mkono bado wanadunda japo hawapo bungeni.
Manyerere ambaye anatoka jimboni kwa Mkono amesema mbunge wake ni mgonjwa kwa takribani miaka mitano sasa na amewataka watu waache kumsema sema vibaya kwani siyo utamaduni wa kitanzania kuwateta wagonjwa.
Wanamjadala kwa pamoja wanasema ni vema sasa Tanzania ikawa na wagombea binafsi kwa sababu hii hama hama haina tija ni sawa tu na Uhujumu uchumi.
Mjadala umemalizika, nawashukuruni sana Dotto Bulendu na Pascal Mayalla kwa mjadala huu.
Maendeleo hayana vyama!
mtu kutangaza tu haitoshi kumvua uanachama bali ilitakiwa kamati ikae imuhoji kwa utovu wa nidhamu,kwa kuzingatia katiba,kanuni na taratibu za chama..kuna katiba na sheria, halafu kuna "exclusive powers."?
..sasa hapo ndiyo kuna uchochoro wa kuvunja sheria, na kuwa na double standards.
..kwa mfano, "exlusive powers" za Spika zilitumika kumfukuza ubunge Nassari bila kumpa nafasi ya kujitetea.
.."exclusive powers" hizo tena zinataka kumrudisha bungeni Cecil Mwambe ambaye kwa hiari yake alikihama chama chake.
..Spika anadai anataka barua ya kikao cha CDM kumvua uanachama Cecil Mwambe!! Barua ya namna hiyo ya nini wakati Mwambe alitangaza mwenyewe ktk vyombo vya habari? Na muda umepita bila Mwambe kukanusha habari hizo, na pia ameacha kuhudhuria vikao vya bunge.
mtu kutangaza tu haitoshi kumvua uanachama bali ilitakiwa kamati ikae imuhoji kwa utovu wa nidhamu,kwa kuzingatia katiba,kanuni na taratibu za chama