Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Pumbavu!!
 
Huyu mwaanzisha mada hana uzalendo na nchi pia bandiko lake lina uchafuzj wa nchi kwa misingi ya kuendeleza Ukabila. Suala la mwandishi ERICK liachiwe mahakama litoe maamuzi. Zama hizi si za kumpaka manukato mtu atumikaye kumkashifu kiongozi wetu mkuu kwa maslahi ya mabeberu
 
Propaganda za kipumbavu sana ulizoandika hapa, kila anayesema ukweli, anayekosoa au anayetoa mawazo tofauti mnapenda sana kujaribu kuhadaa watu eti 'anatumika na mabeberu'. Je vipi kwa wanaotumika na dikteta?
Nchi huru ni lazima kutakuwa na opinions tofauti katika issues mbalimbali na lazima kuwe na critics ambao kazi yao ni ku'alert na kupaza sauti pale jahazi linapoonekana kwamba linaenda mrama, na hata dunia lazima ifahamu kwani sometimes viongozi hufanya uonevu, ukatili na mabaya mengine mengi kwa makusudi mostly kwa faida zao za kiutawala.
Na kuhusu ukabila hebu scrutinize hii nchi inavyoendeshwa kwa sasa na urudi tena.
 
katiba ya nchi inasema kuwa kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ili mradi asivunje sheria za nchi
ikiwa mimi nitasema yanga ni bora zaidi nawe ukanipinga kwa kusema simba ni bora zaidi huo ni mtazamo tuu

ikiwa wewe utaona glasi imejaa nusu nami nikaona iko wazi nusu ni kutokana na mawazo yetu kuwa tofauti

sioni kwamba kila mmoja awe na mawazo ya kufanana na mwenzake na pale tunapotofautiana katika mtazamo mtu awe msaliti
 
This is foolish! Mtu kama wewe unashangiliwa na watu wasioijua dunia na serikali zake. Mayalla anastahili pongezi kama mwandishi aliyeona upuuzi wa makara zile. Ulisoma machapisho mengine ya hilo jarida la The Economist na matusi yaliyoendelea? Yani huyo aliyekuwa anaandika aliona kazi yake ni mashambulizi binafsi kwa rais? Hakuna zuri lolote la kuandika juu ya TZ?

Kama ni Kabendera ndo mwandishi, hana akili ya kudadavua mambo. Alijiingiza ktk upuuzi wa kuguswa mgongoni na wazungu, akavimba kichwa na kujisahau kwamba yeye ni mwafrika. Ni mwandishi asiye na akili ya kujitegemea. Mwandishi gani wa Ulaya au Amerika ataliandikia gazeti la Afrika kila wakati akishambulia nchi yake anakoishi, aachwe na kuchekewa?

Mwandishi Peter Arnett wa NBC, US aliachishwa kazi wakati wa vita ya Iraq kwa kufanya interview na TV ya iraq ambayo serikali ya US hawakuipenda.
 
Ni kipi cha ajabu ambacho Eric alikuwa anaandika hadi uweke uwezekano wa kuwa anaweza kuwa foreign agent? Ni kipi ambacho Eric amekuwa anaandika ambacho Watanzania wengine wasiopenda ujinga hawajaongea?! Taja JAMBO MOJA tu ambalo Eric amewahi kuandika ambalo wengine hawajawahi kulisema!!

Kwani ni uongo kwamba Magufuli ni dikteta?

Kwani ni uongo kwamba utawala wa Magufuli unakiuka katiba?

Kwani ni uongo kwamba utawala wa Magufuli unakandamiza haki za binadamu?

Kwani ni uongo kwamba sekta binafsi imevurugwa sana tangia Magufuli aingine madarakani?

Ni mwehu tu ndie atajifanya hayafahamu hayo na kuona anayesema hayo hadharani eti ni msaliti! Uliyoandika yote ni ujinga tu wa kujifanya upande mmoja una-care lakini short and clear, we nawe ni wale wale tu! Na kama Eric ni Foreign Agent, basi tunahitaji ma-Foreign Agents wengi zaidi kuliko taifa kuwa na misukule aina yako wanaojivika kilemba cha uzalendo fake wakati kimsingi sio wazalendo bali ni watetezi wa mfumo!
 
Hizo likes ni sawalakii imenibidi niangalie ni akina nani wanatoa likes hizo. Remember, the world ha very few clever people. Wengi ni foolish kama mwandishi wetu.
Crap! Kama LIKES za jamaa zinakusumbua, ita tu misukule wenzako na wewe wakupe likes badala ya kuleta wivu wako wa kike hapa!
 
Unajua dunia gani wewe wakati ni mpumbavu tu mtea mfumo kandamizi!Kama Kabendera hana akili, what about mtu kama wewe ambae daily upo hapa kutetea udhalimu unaotokea nchini! Tutarudia tena na tena, hakuna udhalimu uliowahi kudumu madarakani milele! Na nyie vibaraka watetea udhalimu pia mna mwisho!!
 

Kwa lugha hiii. Wewe na Wale Wa kibiti ni Mtu na Mdogo wao. Jamani wauaji ndo hawa.
 
Pole si kila mtu anaweza muelewa uandishi wake ni highly skilled ,skubezi ila nakuhakikishia huwa humuelewi,hata tunaomuelewa huwa tunaelewa amepanda nn tunajifanya hatujaelewa maksudi tunakuza jambo ,sjui na hapa umeelewa mkuu
 
Watu wanajadili hoja na kuweka mifano, wewe unaleta vilio vya matatizo yako. Nani akusaidie hayo? This is not an error of elitism. One stupid weak-minded creature can't be allowed to pollute this society simply, by using corrosive language against the President.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…