Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Wapi nimekutusi?! Btw, unasema ambacho alifanya Peter Arnett sio blunder?! Ndo maana nikakuambia ama punguza ujuaji wakati hujui au inawezekana hata huyo Peter Arnett mwenyewe hujawahi kumfuatilia!!

Peter Arnett ni Mwandishi wa Habari mwenye uraia Marekani! Marekani inaingia vitani na Iraq! Arnett anaenda Iraq kuripoti matukio ya kivita na anaenda huko chini ya media ya Kimarekani! Mwandishi mwenye uraia wa Marekani anaenda kufanya interview na enemy's state tv ; kwa maana ya serikali ya Iraq!!

Yaani hata kabla hatujaangalia nini aliongea kwenye interview bado unaona hiyo sio blunder?! Au hufahamu tafsiri ya neno blunder?! Mwandishi wa habari wa masuala ya kivita unaendaje kufanya interview na enemy's state tv wakati wa vita halafu unasema hiyo siyo blunder?!

Kwamba kuna cha kujifunza, sorry; sina cha kujifunza kutoka kwako manake sijawahi kuona ukiongea jambo la maana hapa JF zaidi ya kutetea utawala!!!
 
P a.k.a Njaa ni mnafiki mkubwa, ila Mungu atamlipa.....
 
Baada ya kutokea huu msiba wa mama yale Eric,
Leo ndio najibu hoja za bandiko hili
P
 
Pascal Mayalla umehusika kwa namna moja kuchangia kifo cha mama Erick Kabendela
kwa hili huwezi kuliepuka
 

Huyu mayalla mbona ni snitch wa muda mrefu, kigeugeu balaaa
 
Snitch
 
Snitches Ain't Live

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe karma inakuhusu, hiki kikombe hautokiepuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro. Mnafiki ni mtu mmbaya sana.

anakuwa bize na jambo flani kwa sababu apate cheo.

Mwaka huu zamu yake kupata cheeo kwa unafiki.

Ukifuatilia post zake ni mtu anayejificha nyuma ya hoja za watu.

aliposikia post ya Mama Kabendela kufariki. Faster faster kaanzisha uzi kuomba huruma kwa Mkuu wa nchi.

Ili tu kubeba hoja kujipendekeza. kweli huruma ya mamba, machozi.
 
Pascal siyo mtu mzuri hata kidogo. Uzi aliouanzisha ni kupoza laana anazoshushiwa na watu hapa JF.
Kuna makatili wenzaki akiana
Barbarosa
UCD,
USSR
Kawe
 
Unajiskiaje moyoni mwako baada ya kifo cha mama yake

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…