Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Naunga mkono hoja kwa 100%
 
Jesus..!!
Mkuu, I rare write this word, "GOD" will deal with you.
 
Enzi hizi za jiwe, waandishi na vyombo vingi vya habari vimegeuka kuwa wapiga zumari wa mfalme, uhuru wa habari umepotezwa, wanaojitahidi kusimamia maadili na weledi, wamejikuta matatani, wao binafsi au vyombo vyao, kwa maonyo na kufungiwa. Wale wapuliza zumari kama Tanzanite ya Musiba, wanatamba tu.

Vv
 
Mbona sijaona ulichoandika hapo kumtuhumu huyo pascal?
What if walidukua mawasiliano ya Kabendera?
Lakini pia kumbuka kashtakiwa kwa uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Wacha due process of law iamue.
Magu's due process of law? I feel like vomiting.
Hawa hawa waliomkamatia kesi ya uraia ikabuma kabla hata haijaanza?
 
WABONGO MNABIDI MJIONGEZE KIDOGO PASCAL ANAJULIKANA KWA KUUMA NA KUPULIZA ANAPONDA KIDOGO ANASAWAZISHA KIDOGO KWA HALI ILIYOPO HAPA NCHINI SASA HIVI YA WAKOSOAJI WE UNAFIKIRI ANGEBAKI SALAMA NDO KWANZA ANAENDELEA KUPATA MADILI YA SERIKALI KUPITIA KAMPUNI YAKE YA UTANGAZAJI NANE NANE MPAKA DAKIKA HII MUSIBA HAJAMSHUKIA TU.WE UNAFIKIRI MUSIBA HAZIONI MADA ZAKE HUKU MWENZAO HUYO
 
Ukabila umekujaa! Usitumie mgongo wa ukabila ukidhani wote tu wajinga. Mtamzuia kiongozi kuingia kagera wewe na nani? Unamjua Kabendela Shinani wewe? Swala lipo mahakamani nenda kamtetee huko. "Otabituletamu'byejabuja amagezi twinegangi"
 
Zamani ulikuwa na Utu pindi ulipokuwa umeokoka lakini siku hizi tokea uahidiwe ukuu wa wilaya umekuwa against kabsa
Kwanini usimsaidie kama kweli unamfahamu Frederick Kabendera kiongozi,

Binafsi jina hilo ndo nimelisikia leo, bado najaribu kufuatilia huenda ni ndugu yake na mwandishi wa kujitegemea Erick Kabendera anayeshikiliwa na jeshi la polisi.
 


Sasa mbona hujatuonesha ni vipi kamchongea?
Kama ni mada za hilo gazeti Pascal amekuwa akileta kila habari zinazo andikwa na gazeti hilo na kuzianzishi mjadala hapa sasa hapo kamchongea vipi? Kwani Pascal asingezijadili ina maana watu wasinge ziona?
Lakini bado sioni uhusiano wa mada yako na mashitaka yanayo mkabili Kabendera...
Na kwa mashitaka rasmi yanayo mkabili Kabendera yaliyo tajwa mahakamani ni lipi limechangiwa na Pascal Mayalla?
Nafiri hakuna hoja yeyote ile umeitoa ya kumtia hatiani Pascal
 
Mkuu mbona capital letters tupu, uandishi wa namna hiyo unakinahisha kusoma.

Samahani lakini!
 
Mimi nitaamini tu pale mkuu wetu Pascal Mayalla atakapo pata uteuzi siku za karibuni kama motisha ya hiyo kazi aliyoifanya. Kinyume na hapo, nitaamini ni hisia tu za mtoa mada. Ingawa si vyema sana kuipuuza hii habari maana hata Yuda alimsaliti Yesu kwa vipande 30 tu vya fedha.

By the way; siku chache zilizopita kabla ya hilo tukio la Kabendera nakumbuka huyu mtaalamu wetu nguli wa habari alitoa malalamiko yake ya juu juu kwenye uzi fulani hivi ya kwamba na yeye kwa sasa anapitia misukosuko mingi! Na hakufafanua kwa kina kuhusu hiyo misukosuko anayopitia.
 
Mchuma janga ula na nduguze,
Kbendara lipokua analipwa na The-uchumi alikula na nduguze sasa kelele zote hizi mnatuletea huku mitandaoni za nini,si muende mkale nae alicho kipanda.
Mwana nzengo Pasikali Mayalaa hauhusiki na lolote lile, kuleta mada kupinga hoja aimaanishi ndio kamchongea, Kila siku mnalilia uhuru wa habari na ndio huo, kaflag akiaandika yupo sahihi ukimpinga hoja umemchongea.
You are disgrace mleta mada
 
mwenzake kavuliwa kama kamongo na perege
Huyu Pascall huyu, mwanzoni mimi nilihisi yeye ndo Mwandishi hivyo anapromote gazeti lake la kibeberu, kumbe wala, alikuwa anamjua Mwandishi ni nani na naamini alijua waliokuwa nyuma yake.
Kiukweli Pascall positively alisaidia gazeti lile kujulikana humu jamvini, lakini negatively anaweza kuwa amechangia kutiwa nyavuni kwa Kafrag. Japo at the end of the day mchuma janga hula na wakwao. I believe Kafrag was well prepared for this!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…