Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Twende pamoja mpk mwisho
 
acha ujinga wewe wa kikabila , wacha sheria ichukue mkondo wake,kama ana makosa ya kisheria..kwani yeye ni nani kwani yupo juu ya sheria..yeye anatofauti gani na wengine woote waliochukuliwa hatua za kisheria kwa makosa mbalimbali
 
Wewe unaona kutumika na mabeberu kuichaifua nchi na rais wetu kipenzi kwa upande vya shekeli, ilikuwa ni sahihi?
 
Uzuri wake Pascal anaijua Karma na anaiaminina kama ni kweli amemsnitch mwenzie asubiri matokeo ya alichopanda
 
Hata wewe unatakiwa kufunzwa adabu. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulikwengu. Mtu yeyote asiheshimu mamlaka ni wa kufunzwa
 
Pasco ni mwana CCM pure anayejifanya mpinzani, nimeona mara nyingi sana jinsi anavyomfagilia Magufuli ...japokuwa kuna nyakati huwa anaonekana kukosoa ila hilo siyo sababu Pasco ni hatari sana
 
Kama kabendera alikua anaandika ukweli ,nini kilimfanya ajifiche?,acha alipie gharama ya upuuzi wake,
Paskali yuko sawa ,hatuwezi fanana mitizamo
 
Inawezekana ni mmoja Wa wale jamaa hua simuelewi pascal
hili Mimi sinaga shaka asilimia mia mbili hamsini pascal nae ni mtu asiejulikana..aliwahi Kuleta Uzi humu kwamba babake ashawahi kua Rso na mama ake pia alikua huko huko ..alafu akatwambia eti yeye alishindwa usaili ...
 
Kuna watu watano wanaoipa jamii forum upekee, mmoja wapo ni pascal mayalla. Inahitaji kua na utashi na kuelewa uandishi wa "between the lines" wa pascal. Vinginevyo utatoka kapa. Serikali ina mkono mferu ikiamua kufanya kitu kwa raia yoyote ujue huchomoki, salama yako iwe ni kukimbilia nchi nyingine tena iwe ulaya au USA tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…