Atclkwanza
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 823
- 998
Hapa ninachokiona watu Wa Lumumba na watekaji Wa Kabendera wameunzisha Uzi huu kwa malengo maalumu
Mlengwa hapa ni Pascal kwa sababu ndiye aliyewafungua wengi kuhusu gazeti la the Economist kuwepo kupitia jamiiforums,Pascal akawa kama wakala Wa the Economist hapa Tanzania kupitia jamiiforums,watanzania wengi wakaanza kulifuatilia hill gazeti kwa kupitia Pascal hasa alipokuwa anatafsiri maudhui yanayomhusu Magufuri kwa kiswahili,
Hapa shida ndo inaanzia kwa Pascal,mleta Uzi ameuleta kimkakati utaona hata wachangiaji wanamushambulia Pascal as if ni mwandishi Wa the Economist,hapa wanajaribu kumtisha Pascal asilete bandiko linalomhusu Joseph kasheku Msukuma tena kwani watanzania wengi wanalifuatilia hilo gazeti baada ya kuona haya ya kwetu yanaandika ugoro na kumtukuza Joseph Kasheku Msukuma.
Pascal kuwa makini brother wala Nyama ya watu wamenogewa,wanatakutafuta wanakuona mchawi, wako mbioni kukupoteza,Joseph Kasheku Msukuma Tajiri Wa Mwanza hapendezwi kabisa unavyowaambia wakanushe wakati wenzako hawana pa kuanzia kukanusha,kama wanasema Kasheku Msukuma is bulldozing the Economy wakati wanajua ni kweli wataanzia wapi?
Chukua tahadhari au Nenda Gamboshi brother ili watekaji wasikuone kwenye rada zao.