Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Unaweza kudhibitisha pasipo shaka tuhuma zako hizi!? Acheni kudanganyika na likes za JF.
===
Kwa mara ya kwanza wakati Pascal anapandisha uzi uliokuwa unatuonyesha jinsi The Economist walivyokuwa wanatudhiaki watanzania kutokana na maaandishi ya kibri na kebehi kutoka Jarida hilo (Kumbuka rais wetu wa nchi ni nembo yetu ya Taifa), ulichukua hatua gani kumshauri mwandishi na mhariri wa Jarida hilo kuacha mara moja ufedhuri dhidi ya nchi yetu!?

Si-ungi mkono hata mara moja uonevu, lakini yeyote anayedhiaki utaifa, utanzania, uafrika wangu na wenzangu pamoja na kudhiaki utu wa mtu kwa ujumla wake kwa sababu yoyote ile, anastahili adhabu yangu au ya mamlaka husika. Atasamehewa tu akijutia kosa lake kikweli kweli kiasi kwa namna yoyote ile hatagundulika kuwa anaomba msahama kwa hila.
[/QU

Wewe ndugu yangu nakushangaa sana,mbona sasa tuhuma mnazotuhumu hazipo kwenye hati ya mashitaka?
 
Ukweli unaujua kwamba anayezungumziwa si Fredrick na sioni kama ungepungukiwa chochote kwa kusahihisha jina husika.

Ndo maana nimeuliza. Nasahihisha vipi wakati ndani ya text yote anatajwa Fredrick? What if mwandishi anamaanisha Fredrick Kabendera kweli? KUULIZA SI UJINGA. NILITAKA KUJUA FREDRICK NI YUPI HUYO?
 
Hivi Pascal Mayalla ndo aliemtuma Erick kuandika huko The Economist ?.Kina Zitto na Membe ndo wanaomtuma hao ndo waliomponza.Eti mwandishi wa habari za kiuchunguzi ? Uchunguzi gani wakati alikuwa anasubiri Rais aongee ndo yeye achambue hotuba in a negative way. Nimesoma maandishi yake yote kule The Economist hakuna habari ya uchunguzi zote ni against projects anazofanya JPM mara eti Rais anapenda mega projects alitaka apende minor projects ? Haya kina Zitto wakamsaidie na kunyea ndoo huko Segerea.
 
Inawezekana ni mmoja Wa wale jamaa hua simuelewi pascal

Yap, mara nyingine ni vigumu kumuelewa Pasco lakini. Andiko lake dhidi ya lile la the Economist lililenga kujipendekeza kwa magu lakini sidhani kuwa alikuwa na nia ya kumuumiza Kabendera.

Siamini kuwa wazee wa kitengo walianza uchunguzi kujua nani anaandika for the Economist baada ya kosoma bandiko la Pasco. Siamini kama Pasco alikuwa na nia ya kumchongea Kabendera. Ninaamini kuwa watu wa kitengo wamekuwa wakinfuatilia Kabendera kwa muda mrefu na hatimaye wampata, japo kwa kuvunja Sheria!
 
Hivi Pascal Mayalla ndo aliemtuma Erick kuandika huko The Economist ?.Kina Zitto na Membe ndo wanaomtuma hao ndo waliomponza.Eti mwandishi wa habari za kiuchunguzi ? Uchunguzi gani wakati alikuwa anasubiri Rais aongee ndo yeye achambue hotuba in a negative way. Nimesoma maandishi yake yote kule The Economist hakuna habari ya uchunguzi zote ni against projects anazofanya JPM mara eti Rais anapenda mega projects alitaka apende minor projects ? Haya kina Zitto wakamsaidie na kunyea ndoo huko Segerea.
I second you
 
Sasa kama unanukuu maneno ya standard 7 utakuwa na high price?

EMPTY SKUULED WEWE NA MSUKUMA MMEO
Ili kuonyesha we ni mjinga uelewa wako Mdogo,hujui hata ni nani anaewatukana wenzake ni wapumbavu,sasa unataka tumtaje hapa kwa jina au title ili muanze kutuwinda kama mlivyoleta Uzi mahsusi kupima upepo jamiiforums kwa Pascal.

Sasa hivi hatumtaji jina atatumaliza kwa kutumia akina mariamungu kama nyie.neno Msukuma na wapumbavu lingetosha uelewe ni nani namlenga,sasa kwa sababu ya zero brain huwezi kuelewa.
 
Mleta mada...kama ukimsoma vizuri pascal "between the line" kwenye mada zake basi utagundua hayupo kabisa upande wa jiwe...

Huo ndo ukweli! Ila pia ni rahisi kudhania kuwa anajipendekeza kwa Magu kuliko kudhania kuwa anamchongea Kabendera!
 
Ili kuonyesha we ni mjinga uelewa wako Mdogo,hujui hata ni nani anaewatukana wenzake ni wapumbavu,sasa unataka tumtaje hapa kwa jina au title ili muanze kutuwinda kama mlivyoleta Uzi mahsusi kupima upepo jamiiforums kwa Pascal.

Sasa hivi hatumtaji jina atatumaliza kwa kutumia akina mariamungu kama nyie.neno Msukuma na wapumbavu lingetosha uelewe ni nani namlenga,sasa kwa sababu ya zero brain huwezi kuelewa.
Namshangaa aliyeharibu tone yake la manii kukuleta duniani
 
Niombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa linawategemea wanaposigana katika jamii nani anayeumia zaidi!

Nakumbuka siku za hivi karibuni gazeti la the Economist lilikuja na habari ambazo Mkuu Pascal aliziita kuwa ni habari za uongo dhidi ya Rais wetu wa Tanzania.

Gazeti ilo liliwahi kuja na habari kuwa "Rais wa Tanzania hapendi kukosolewa"

Gazeti ilo baada ya kuchapishwa Pascal Mayalla alikuja na bandiko la kupinga habari ile huku akionesha jinsi ambavyo sio kweli Rais wetu anapenda kukosolewa.

Alikwenda mbali zaidi akamnukuu Rais wetu kuwa aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa yeye anapenda kukosolewe ila akosolewe kwa Staha na kwa hoja.

Pascal Mayalla kwenye andiko lake anatolea mfano kuwa yeye Pascal Mayalla ni moja ya wanahabari ambao waliwahi kumkosoa Rais na Rais alikubali kukosolewa kwa kumjibu huku akimtania.

HOJA.

Kwanza lazma watu mjue kuwa andiko la Pascal kupinga habari ya the Economist ndio iliyoamsha watu na kuanza kufuatilia ni nani na yuko wapi anae ripoti habari hizo katika gazeti la the Economist?

Hapa naomba nieleweke,hata watumishi idara nyeti walianza kufatilia gazeti ilo baada ya kusoma bandiko la Pascal Mayalla hapa JF, na ndipo wakaja kugundua kuwa kumbe mwandishi wa habari zile na nyeti kupitia gazeti lile ni ndugu yetu Erick Kabendera.

Kwanini walifuatilia,kiukweli kilichoandikwa na mwandishi huyo wa habari kilikuwa na ukweli wa 100%ingawa huyu Ndugu Mayalla alikipinga kwa lengo la kujipendekeza kwa msukuma mwemzake.

Je, Pascal Mayalla alijua tangu awali kuwa Kabendera ndie anayeandika habari nyeti na kuziripoti The Economist na alishindwa kumuita kama mdogo wake na kumpa onyo?

Kimsingi kifungo cha Kabendera nadhani ni furaha kwa Mayalla kwani alimjua tangu awali na alishindwa kabisa kumuita na kumuonya ingawa wote wanatoka kanda ya ziwa.

Je, Pascal alijua Erick akifungwa tegemezi wake watalia na kusaga meno na wengine watajitokeza mitandaoni wakimlilia kwa kukosa hata fedha ya kununua Dawa?

Nadhani yote aliyajua ndio maana tangu Kabendera awekwe korokoloni hajawahi jitokeza popote kulaani kukamatwa kwa kijana huyu zaidi inasemekana ndio kwanza anatafuta makala zote zilizoandikwa huko nyuma na kuzisoma na kuzifafanua kwa vijana wa idara nyeti ili kijana azidi kubanwa.

Andiko la Mayalla dhidi ya kumtetea ndugu yake liko hapa JF linaudhi linaumiza kwani humo ndani anawataja wakosoaji wakubwa wa nchi hii ambao leo hii wamegeuziwa rangi ya unga wa ndere wao wanaita unga mweupe sasa huku wakila kuku kwa mirija.

Nasisitiza waandishi wa habari mtengeni Mayalla na waandishi wote wenye vinasaba vya ukabila na wanaoshindwa kusimamia taaluma badala yake wanaishia kujipendekeza kwa kuhofia uhai wao.

Natoa rai kwa Serikali ya Jamhuri kumwachia huru Kabendera. Tusipomdai kwa kiswahili tutawataka kwa kilugha, na hapo ndipo tutakapozuia kiongozi yeyote kuingia mkoa wa Kagera mpaka "omwana weitu mumutaishure.""
Acha uchonganishi..Paschal Mayala aliandika alichokiona yeye ni sawa lakini kumbuka kwa mtu yoyote mzalendo hawezi kuacha kumtetea Rais Magufuli kwa mazuri mengi anayoyafanya kwa nchi yetu na aliejitoa Muhanga kuona nchi hii inafikia uchumi wa kati. Na ukisema Mayala analeta ukabila mbona mm nampenda na natambua kazi nzuri anayofanya Rais Magufuli kwani mm ni Kabila langu?? Halafu unaposema waandishi wamtenge Mayala kwani kuna mwandishi anamlisha Pascal Mayala au kumsomeshea watoto?? Mi niko upande wa Paschal Mayala kusema ukweli na kumpinga yyte anaetumika kwa namna moja ama nyingine kuichafua nchi yetu na Rais wetu mpenda JPM. Lingine kumzuia kiongozi yyte kufika kagera hiyo ni ndoto ya mchana unaota najua ukiamka utajiona ulivyokua Z..zu kuota ndoto hiyo. Ukipanick njoo hapa
 
"Always Pray feed on weak animal",
Alway nature is nature,
There is an end at every line, but also there is a cost to make a line,
A for Apple
B for Ball
But also A for Angels
And B for Boy
 
Mayalla atalaumiwa bure, circumstancial evidence hazi support tuhuma hizo, alishawahi uliza swali la msingi na kupuuzwa na ...kwa kumuita njaa, Alisha itwa ......kwa tuhuma za kuliita dhaifu na maandiko yake humu jf sikuhizi yamekua yakisadifu mtu alietishwa na mamlaka yake.

Kabendera alishindwa kusoma alama za nyakati.
Hata hivo nashauri watu waliokaribu nae wamshauri namna ya ku compromise na washtaki wake naamini kwa influence ya jammii ilivolipokea ataachiwa huru.
Jf tushauri namna anavoweza ku compromise na mamlaka kuliko kuponda mamlaka na kuleta ushabiki. Nadhani compromise ya suala hili ina maslahi mapana kwa nchi yetu
 
Back
Top Bottom