Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

Alikwenda mbali zaidi akamnukuu Rais wetu kuwa aliwahi kuwaambia wanahabari kuwa yeye anapenda kukosolewe ila akosolewe kwa Staha na kwa hoja.
Rais kama alisema haya, na bado mtu anaishia kumtukana, maana yake huyo mtu hana adabu na anatakiwa awajibishwe.
 
Paschal sio hakimu hata angekua kamsingizia..alichofanya ni kupinga hoja za kabendera maana hata yeye ni binadamu ana haki zake za kukubali na kupinga chochote kile...

Paschal hayuko katika serikali na hata kama yupo kama undercover bado maamuzi ya hatua za kuchukuliwa kabendera hayatoki kwa paschal maana yeye atakua kama informer tu na si vinginevyo.

So kama paschal ni informer shida yenu iko wapi? anaripoti kila analoona linafaa kufikishwa sehemu husika ila si paschal anaetoa order flani akamatwe,flani apewe kesi flani,Hiyo haimuhusu paschal.

Hamna anaejua kazi ya paschal out of journalist tunavyojua wote na sioni alipokosea wala kumtakia mwenzake mabaya,ni sawa na leo wewe umwambie rafiki ako "we jamaa mjinga sana" then after two days yule rfk ako apate ajali afe Unataka kusema utapewa lawama zote wewe kwakua ulimuita mjinga? unataka sema utakua umefurahia kifo chake kwasababu ulimuita mjinga? Jibu ni HAPANA.

tuna uhuru wa kujieleza tuna uhuru wa kufanya lolote so paschal alitimiza moja ya haki yake kama Mtanzania so mnae mvamia na kuleta porojo as if yeye ndie alietoa warranty ya kukamatwa kwa kabendera sazngine mjue kufkiria mara 5 tano.

Naweza gombana na wewe leo kwasababu nakudai hela yangu..lakini haina maana kesho nikisikia umefariki dunia ntakua na Furaha au mimi ndio msababishi wa wewe kufariki,,,kuna vitu vingine hata havihusiani yani.
 
Kwahiyo kuleta yale maandiko huku ni kumchomea?

Kwamba yangebaki huko isingejulikana?

Masikini wana desturi ya kupiga kelele
 
Hili linatoka moyoni mwangu, KAMA KUNA MTU MKABILA, MKABILA, ALIYETUKUKA NI Pascal Mayalla, A Tribalist and defined as : an advocate or practitioner of strong loyalty to one's own tribe or social group.
Pascal haoni doa lolote katika Jiwe, anamuona kama malaika Gabriel! Huyu naye akiwa Rais uwaja wa ndege utajengwa chooni kwake (if that could be possible anyway, he can dare do that!).
Mayalla namuheshimu sana enzi zake kabla ya Jiwe, sasa siye kabisa.
Noted with thanks sir
 
Mkuu to be honest haujaonyesha Ushahidi wenye nguvu wakuweza kutushawishi na kutuaminisha kwamba "Pascal is behind the scene " naomba kusanya Valid and Tangible evidences kinyume na hapo itakuwa ni tuhuma tu ambazo hazina mashiko
Its you who cant point out those key evidences that the writer has pointed out sir, think like a lawyer sir
 
Wewe ni mnafiki, mchawi, mzushi na muuaji kabisa na uzuri umejishtukia sana, tena mno kwenye uzi wako huu

1. Usalama wa Taifa na vyombo vyake vyote vinasoma kila kinachoendelea mitandaoni, magazetini ndani na nje ya nchi, KUSEMA Pascal alikuwa anashadadia ni sawa na kusema vyombo vya usalama vinamtegemea Pascal Mayala??? kuwa hawao hawajui ila wameamshwa na Pascal??? HAPA umekosea

2. JF ni familia kubwa, Pascal MAYALA ni mwanafamilia humu, HAPA tuna dare kuongea kwa uwazi, IKITOKEA KILA MAADA YA mtu humu ikahusishwa na kila kinachoendelea serikalini na uraiani UTAPATA mpaka wachawi humu; wako waliowahi kusema fulani atakufa mwisho wa mwaka na ikawa!! wako waliowahi kusema fulani ajiangalie, na IKAWA, wako waliowahi mpaka kusema mbovu juu ya mahusiano ya wenza wawili na wenza hao uhusiano wao ukafa!!! wako mpaka ambao tushawahi sema waziri fulani hana siku nyingi ofisini na ikawa!!

Pascal alikuwa ana post kwa mawazo yake, na mitazamo wako akiwa kwenye mood zake na uwanja wake binafsi!! kumuhusisha na Kibendera sio sawa kabisa

How come leo unamkaanga member mwenzio? alipotoa ile post that very time uliipinga? ulisema italeta matatizo? HUKUWEZA KUSEMA maana zilikuwa post za kawaida za kila siku kama zingine; umekuja kuwaza baada ya kuanza kutafuta mchawi??? usitafute wachawi humu.. NA NI UKO WARD, haupingi wala hauangaiki Kibenedera atoke, unaangalia nani ni chanzo?? seriously??

akina Maxence wanakesha mahakamani wewe na mimi tuwe huru, watu wanasema chochote na hakuna PERSONAL humu!! weka hoja mezani na usiongee KUFIRIKA kwa ku assume fulani ni mbaya unamchafua..

yakupasa uombe radhi

3. Sidhani kama kila ulichosema wewe katika maisha hakikuwahi kutokea na hakuna aliyekuhusisha nayo, why kwa member mwenzako

Pamoja na uzoefu wako humu ume loose sense of unity, sense of protection unamtoa mwenzako achafuke mtaani, jina lake waliseme vibaya, pengine hata wengine kumuua, KISA umefikiria tu mkuu

zamani humu, tulikuwa na utaratibu wa kuweka attachments, kama proof ya unachokisema...siku hizi imebaki ku assume tu

Nimeamka vizuri leo, ningeingia deep kukufafanua. ACHA hiyo tabia
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Well said !!
 
Mwandishi wa habari hii ni mfano ya wazandiki waliojaa hapa JF.
Kwanini uone kuwa Eric Kabendera akiandika anakuwa ndio anatumia uhuru wa kujieleza lakini Pascal Mayala akiandika anakuwa anamtetea Msukuma mwenzake?
 
Tangu apewe maana ya neno "MAYALA" kwa Ki-ZINZA hakuwa sawa tena .

Na zaidi alivyoitwa Dodoma kwa yule mgogo mwenye pengo kwa chini na kupewa "memorandum OF understanding" heheeheh

He was finished

Kwa sasa mayala ni leading Figure wa "Mataga"

Yaani ingekuwa Tz ni kule mbinguni basi yeye angekuwa kiongozi wa sifa nafasi ya--------
 
Hili hata mimi niliiona.Maandishi ya Paskali ni kama alikuwa na motive fulani behind,na tunaomjua Paskal ukiona anakomalia kitu ujue keshayajua ya nyuma ya pazia,hivyo anaamsha tu dude.Swali ni kuwa,hiki kilichotokea ndio alitaka kitokee?Namuachia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom