Pascal Mayalla niwie radhi ila nikuulize swali, unajua kuwa Ben Saanane tulikuwa naye humu tukijadiliana?

Wewe na Chadema tokea Ben Saanane ametoweka mmechukua hatua gani kuhakikisha anarudishwa na hao mnaosema wamemteka? Mmeenda mahakamani? Mmeenda ofisi za Un? Au mnabaki kulalamika na kuwatusi watu kama akina Pasco.
Unapojibu hoja please shirikisha ubongo wako,hapo juu umeambiwa ni wajibu wa vyombo vya ulinzi na usalama kulinda usalama wetu sisi,sio wajibu wa vyama vya kisiasa kufanya hii kazi
 
Unapojibu hoja please shirikisha ubongo wako,hapo juu umeambiwa ni wajibu wa vyombo vya ulinzi na usalama kulinda usalama wetu sisi,sio wajibu wa vyama vya kisiasa kufanya hii kazi
Sasa mmeshatambua havijatimiza wajibu wake,na kuna watu mnadai vimewateka,what next?

Any way sijui nakujibu una level gani ya elimu. Isiwe kama mtoa mada.
 
Sasa mmeshatambua havijatimiza wajibu wake,na kuna watu mnadai vimewateka,what next?

Any way sijui nakujibu una level gani ya elimu. Isiwe kama mtoa mada.
Wewe ni Delinquent JF member for life,huna hata chembe ya ubinadamu na still bado unakwenda kwenye nyumba za ibada,elewa Saanane alikuwa na familia yake na why serikali katili imekatiza furaha ya familia hii?na kwa sababu upo so selfish you don't take a dam.
 
Tamati imefika
 
Mkuu G Sam , nimekusikia, kuhusu kupotea kwa Ben Saanane, mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma.

P
 
Niliwahi kukutana na kufanya kazi na Ben kwa siku chache kiukweli bado naamini yupo hai na salama. Hope kwa mabadiliko haya twaweza kupata details alipo.
 
Mkuu G Sam , nafanya tuu mapitio issues za Ben Saanane baada ya kutangaziwa rasmi alivyoondoshwa!. Kuna vitu vikubwa ulivisema humu nikivitafakari nimegundua wewe sio mtu wa kawaida tuu, una kitu!.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…