Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.

Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?

Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783
Usiombe mtu akala KIZIMA AKILI huyo mtu hatajitambua ila WENZAKE watagundua ila yy hawezi gundua kwa sababu tayari AKILI yake imekwisha kuzimika.ndio hawa akina Mayala p. Kazi tunayo ktk Taifa.
 
Usiwe na wasiwasi, reli ya SGR ipo, treni zinawasili, safari ya DAR Moro kuzinduliwa soon.
P
SGR DAR MORO unasafirisha mzigo wa nani... acheni uzwazwa yaani nibebe mzigo wangu afu ushuke moro afu niubebe tena utafika lini kigoma? endeleeni tu na usanii wenu
 
Ukizaa toto nafiki kama hili litakuja ata kukuia kabisa mzazi pasco ni mtu hatari sana
Mkuu @kurizawa, jf tuko watu wa aina tofauti tofauti, hata baada ya kuitwa litoto, ukigundua aliyekuita toto amekosea kitu mahali, unamrekebisha, hapo ulipoandika "kukuoa", hakuna neno la Kiswahili "kukuia" hivyo naamini ulidhamiria kuandika "kukuua". Rekebisha na uwe na siku njema.
P
 
mayala kikwetu ni NJAA KALI
Mkuu MWALLA, baadhi ya matamshi ya Kiswahili, yanatokana na lugha za asili za makabila yetu, mfano neno mama kwa lugha nyingi za kibantu ni mama, mae, mayo, Mayu, nina na nyoko, ukitanguliza lile tusi la K, kabla ya jina lolote la mama, ni kutukana tusi la nguoni, lakini hata ukilitaja tuu kwa hasira hilo jina la mama, bila kulitaja tusi la K, utakayemtajia mfano "*****" , "nyoko", "manina", "mamayo" etc, unayemwambia atajiona unamtukana!.

Neno Mayalla Kwa Kisukuma sio njaa kali ya tumbo kuhitaji chakula, ni njaa ya baa la njaa kutokana na ukame, drought famines, dawa yake ni kunyesha kwa mvua. Mtu akisema Mayalla maana yake ni njaa, naona kama ni kunitukana mimi ni mtu wa njaa sana, japo pia kiukweli kauli nyingine huumba, kabla ya kuitwa njaa, nilikuwa na ofisi mjini kati, kodi tuu ya pango ni mshahara wa DC, nilikuwa nimeajiri vijana 20. Nilikuwa na tenda 6 za serikali ikiwemo tenda ya baada ya kuitwa njaa, kwanza tenda zote zikakata!. Nikashindwa kulipa pango la ofisi nikahamia Posta House, kwenye kajichumba.

Nikashi mydwa kulipa mishahara ya wafanyakazi, nikapunga wafanyakazi, tukabaki 5, na njaa kali ya tumbo ikanitembelea.

Sasa mambo yamebadilika naombeni sana msiendelee kuniita haya majina cursed ya cursed names!. Please nihurumieni ili nisife njaa.
P
 
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge.

Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii?

Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina kuhusiana na kile kinachoonekana kama anguko la msomi huyo.
View attachment 1817783
Kazi nzuri sana Rais Samia
 
Mkuu MWALLA, baadhi ya matamshi ya Kiswahili, yanatokana na lugha za asili za makabila yetu, mfano neno mama kwa lugha nyingi za kibantu ni mama, mae, mayo, Mayu, nina na nyoko, ukitanguliza lile tusi la K, kabla ya jina lolote la mama, ni kutukana tusi la nguoni, lakini hata ukilitaja tuu kwa hasira hilo jina la mama, bila kulitaja tusi la K, utakayemtajia mfano "*****" , "nyoko", "manina", "mamayo" etc, unayemwambia atajiona unamtukana!.

Neno Mayalla Kwa Kisukuma sio njaa kali ya tumbo kuhitaji chakula, ni njaa ya baa la njaa kutokana na ukame, drought famines, dawa yake ni kunyesha kwa mvua. Mtu akisema Mayalla maana yake ni njaa, naona kama ni kunitukana mimi ni mtu wa njaa sana, japo pia kiukweli kauli nyingine huumba, kabla ya kuitwa njaa, nilikuwa na ofisi mjini kati, kodi tuu ya pango ni mshahara wa DC, nilikuwa nimeajiri vijana 20. Nilikuwa na tenda 6 za serikali ikiwemo tenda ya baada ya kuitwa njaa, kwanza tenda zote zikakata!. Nikashindwa kulipa pango la ofisi nikahamia Posta House, kwenye kajichumba.

Nikashi mydwa kulipa mishahara ya wafanyakazi, nikapunga wafanyakazi, tukabaki 5, na njaa kali ya tumbo ikanitembelea.

Sasa mambo yamebadilika naombeni sana msiendelee kuniita haya majina cursed ya cursed names!. Please nihurumieni ili nisife njaa.
P
Aliyekuita njaa kashakufa kitambo sn na wewe jirekebishe sifia panapofaa na kusoa panapofaa kukosoa
 
Muoneeni huruma ndugu yangu Paskali.
 
Nikiwaambia Bwana Paskalj Ni mpuuzi muwe mnaelewa[emoji116]
Hapa Pascal Mayalla alikuwa akinjaza upepo matakoni yule maiti wa Chato
 
Mkuu MWALLA, baadhi ya matamshi ya Kiswahili, yanatokana na lugha za asili za makabila yetu, mfano neno mama kwa lugha nyingi za kibantu ni mama, mae, mayo, Mayu, nina na nyoko, ukitanguliza lile tusi la K, kabla ya jina lolote la mama, ni kutukana tusi la nguoni, lakini hata ukilitaja tuu kwa hasira hilo jina la mama, bila kulitaja tusi la K, utakayemtajia mfano "*****" , "nyoko", "manina", "mamayo" etc, unayemwambia atajiona unamtukana!.

Neno Mayalla Kwa Kisukuma sio njaa kali ya tumbo kuhitaji chakula, ni njaa ya baa la njaa kutokana na ukame, drought famines, dawa yake ni kunyesha kwa mvua. Mtu akisema Mayalla maana yake ni njaa, naona kama ni kunitukana mimi ni mtu wa njaa sana, japo pia kiukweli kauli nyingine huumba, kabla ya kuitwa njaa, nilikuwa na ofisi mjini kati, kodi tuu ya pango ni mshahara wa DC, nilikuwa nimeajiri vijana 20. Nilikuwa na tenda 6 za serikali ikiwemo tenda ya baada ya kuitwa njaa, kwanza tenda zote zikakata!. Nikashindwa kulipa pango la ofisi nikahamia Posta House, kwenye kajichumba.

Nikashi mydwa kulipa mishahara ya wafanyakazi, nikapunga wafanyakazi, tukabaki 5, na njaa kali ya tumbo ikanitembelea.

Sasa mambo yamebadilika naombeni sana msiendelee kuniita haya majina cursed ya cursed names!. Please nihurumieni ili nisife njaa.
P
we kubali tu wazazi walikosea kukupa hilo jina. kifupi mayala ni NJAA
 
Back
Top Bottom