Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
sawa mkuuUshauri wako upo applicable Chadema, lakini formula ya Ccm ni jipendekeze ili upendekezwe.
Paskali yupo sahihi na wewe upo sahihi, Ceteris paribus.
Watampa Nafasi Sasa Hivi Kasifia SanaIla safari hii wasimfanyie kama kule Kawe aisee! That was unfair.
Maoni yako yaweza kuwa kweli lakini hiyo CCM haina guarantee. The citizens are there to stay but CCM is a mere passing wind. Muda wowote kitaacha kuvuma tu ila Tanzania hii wananchi milele na milele hawatakoma kuwepo.Ushauri wako upo applicable Chadema, lakini formula ya Ccm ni jipendekeze ili upendekezwe.
Paskali yupo sahihi na wewe upo sahihi, Ceteris paribus.
Nimejikuta nacheka kwa nguvu baada ya kumkumbuka Dem aliyekuwa anajitongozesha kwangu😅Paskali ni kama mwanamke anajitongozesha na kuwachekea wanaume lakini hamna mwenye time naye.
Kwa aina ya Watanzania tulionao Ccm itaendelea kutawala Kwa miaka mingi ijayo.Maoni yako yaweza kuwa kweli lakini hiyo CCM haina guarantee. The citizens are there to stay but CCM is a mere passing wind. Muda wowote kitaacha kuvuma tu ila Tanzania hii wananchi milele na milele hawatakoma kuwepo.
Je kama mtu mwenye utashi utawekeza kwa nani?
Andiko lako limenitoa machozi , Wallah tena !!Kwa aina ya Watanzania tulionao Ccm itaendelea kutawala Kwa miaka mingi ijayo.
Hizi tozo za kipumbavu zilitosha kuitingisha hii serikali iliyopo au kuiondowa kabisa.
Ccm inatawala maiti hai.
Lait Paskali Njaa angelijua kuwa syestem imekwisha mkataa, asingelipoteza rasilimali zake katika huu umri wa lala salama.Paskali ni kama mwanamke anajitongozesha na kuwachekea wanaume lakini hamna mwenye time naye.
Huyu Jamaa ana uchu wa Madaraka kajipendekeza kwa Magufuli mpaka Kafa Kaanza kwa Mama bado hali ni teteMkuu , uzi huu ni wa ushauri tu , si uzi wa Majungu , na sikutaka kukupigia kwenye ile simu yako ya Vodacom , nimeona niweke hapa ili hata Washauri wako waone , labda wanaweza kukushauri zaidi .
Nimeona Juhudi zako za kusifia Watawala kwenye mambo kadhaa hata yale ya kawaida tu kama sensa nk , Binadamu sisi tumeumbwa na Ufahamu wa kutambua , binafsi nimeona zaidi ya unacho andika , Bali nakushauri kitu kwamba sifia kwa kiasi tu (TOO MUCH IS HARMFUL) , Viongozi hawajawahi kumsaidia mtu yeyote kushinda kwa haki , ukitaka kuweka ushawishi weka nguvu yako kwa Wapiga kura .
Nakuacha na angalizo moja lililotokea kwenye chama cha soka cha Tanzania enzi zile (FAT) , Kulikuwa na kesi iliyokabili viongozi wa wakati ule , ngoja nifupishe , Aden Rage alifungwa lakini Muhidin Ndolanga aliachiwa huru ....
Unajua ni kwanini ?
Nje ya mada....why Ndolanga hakufungwa na Rage akafungwa?Mkuu , uzi huu ni wa ushauri tu , si uzi wa Majungu , na sikutaka kukupigia kwenye ile simu yako ya Vodacom , nimeona niweke hapa ili hata Washauri wako waone , labda wanaweza kukushauri zaidi .
Nimeona Juhudi zako za kusifia Watawala kwenye mambo kadhaa hata yale ya kawaida tu kama sensa nk , Binadamu sisi tumeumbwa na Ufahamu wa kutambua , binafsi nimeona zaidi ya unacho andika , Bali nakushauri kitu kwamba sifia kwa kiasi tu (TOO MUCH IS HARMFUL) , Viongozi hawajawahi kumsaidia mtu yeyote kushinda kwa haki , ukitaka kuweka ushawishi weka nguvu yako kwa Wapiga kura .
Nakuacha na angalizo moja lililotokea kwenye chama cha soka cha Tanzania enzi zile (FAT) , Kulikuwa na kesi iliyokabili viongozi wa wakati ule , ngoja nifupishe , Aden Rage alifungwa lakini Muhidin Ndolanga aliachiwa huru ....
Unajua ni kwanini ?
Swali zuri , lakini sitajibu kwa uwazi sana kwa sababu maalum , Ni hivi baada ya kushitakiwa Ndolanga alikuwa amejikita kuhangaika na Wanasheria , Hakimu na PP ( kwenye Hakimu na PP unielewe vizuri , pana jambo hapo ) , yeye Rage alikuwa anashinda kwenye ofisi za ccm kuomba msaada kwa viongozi wa chama na serikali ( Majina nayahifadhi kwa sababu za kimaadili ), mpaka anafungwa hakuna aliyemuokoa , Japo alikuja kutolewa Jela kwa Msamaha wa RaisNje ya mada....why Ndolanga hakufungwa na Rage akafungwa?