Heshima itawale jamani, loh!Paskali ni kama mwanamke anajitongozesha na kuwachekea wanaume lakini hamna mwenye time naye.
Nielekeze hicho chuo cha kuwafundisha "citizens" wa Tanzania kuwa CCM ni a mere passing wind. Nami nitakuonesha nguzo ya umeme inayozaa papai...Maoni yako yaweza kuwa kweli lakini hiyo CCM haina guarantee. The citizens are there to stay but CCM is a mere passing wind. Muda wowote kitaacha kuvuma tu ila Tanzania hii wananchi milele na milele hawatakoma kuwepo.
Je kama mtu mwenye utashi utawekeza kwa nani?
Wewe mzee tulia kula kvant zakoNielekeze hicho chuo cha kuwafundisha "citizens" wa Tanzania kuwa CCM ni a mere passing wind. Nami nitakuonesha nguzo ya umeme inayozaa papai...
CCM ni jishetani ambalo linaogopwa na malaika....
Wewe unaijua??Unaijua CCM wewe?
[emoji38][emoji38][emoji38]Kuna msemo kuwa ukiona giza linaongezeka sana ujue kunakaribia kupambazuka.
Na kule kwetu kuna nadharia kuwa "ukilisubiria sana Jambo fulani kufanyika/kutokea mpk ukajisikia kukata tamaa, basi Jambo hilo linakaribia kutokea.
Juhudi za Pascal Mayalla kutafuta nafasi ni za muda mrefu na ninaona kila dalili anaenda kufanikiwa. Asikate tamaa hata kama anakatishwa tamaa.
[emoji38][emoji38][emoji38]Watampa Nafasi Sasa Hivi Kasifia Sana