Pascal Mayalla ukitaka kuchaguliwa wekeza kwa Wapiga kura , Viongozi hawatakusaidia chochote

Nielekeze hicho chuo cha kuwafundisha "citizens" wa Tanzania kuwa CCM ni a mere passing wind. Nami nitakuonesha nguzo ya umeme inayozaa papai...

CCM ni jishetani ambalo linaogopwa na malaika....
 
Kuna msemo kuwa ukiona giza linaongezeka sana ujue kunakaribia kupambazuka.

Na kule kwetu kuna nadharia kuwa "ukilisubiria sana Jambo fulani kufanyika/kutokea mpk ukajisikia kukata tamaa, basi Jambo hilo linakaribia kutokea.

Juhudi za Pascal Mayalla kutafuta nafasi ni za muda mrefu na ninaona kila dalili anaenda kufanikiwa. Asikate tamaa hata kama anakatishwa tamaa.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…